Ruyama
JF-Expert Member
- Sep 6, 2019
- 367
- 563
Nina mtoto ana miaka miwili na miezi minne jinsia ni wakiume,hawezi kuunga sentensi anaita mama,baba na anko tuu lakini,kwa mtoto wa jirani ambaye ana miaka 2 na miezi mitatu yeye anaweza kuzungumza kwa kusema mama hayupo au mama yupo ndani,HAPO MWANANGU SIO KWAMBA KUNA TATIZO?NINI NIFANYE ILI AWEZE KUUNGA MANENO?