Mwanaumee usifanye hivi kwenye mtoko!

Mwanaumee usifanye hivi kwenye mtoko!

watu wamesha-declare humu, hata uji hawezi kukukorogea...sembuse kulipa bill !!
--Kweli nimeamini... kupata mtu anayeelewa maana ya mahusiano siku hizi ni kazi kuliko hata kupata PHD...

Nashukuru mimi ni kati ya hao wachache waliobaki..lol
 
Unapotoka na msichana yoyote yule, hata kama ana kuzidi kipato kwa kiasi gani, hakikisha wewe ndio unakuwa msimamizi wa show. Ikija bili, akitaka kulipa , mwambie " Please, nitalipa mimi ", hakikisha hauruhusu mwanamke huyo kutumia hata senti tano yake kulipia chochote kile.... Usikubali kumruhusu mwanamke atumie pesa yake kwenye mtoko.Najua una degree, masters,au/na PHD but am sure as hell waalimu wako hawajawahi kukufundisha kitu kama hiki...

Tungekua tupo karne ya tatu haya ni mawazo mazuri sana,
 
Mimi mpenzi wangu alikuwa ananinunulia bia na nyama choma katika kila mtoko.baada ya kula nilikuwa namkuna mpaka kaamua mwenyewe tuowane na tumeowana ndoa ina 2yrs na heshima tele.Mwanamke ukimkamua vibaya ndo analeta dharau.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom