LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,349
- 36,317
Unapotoka na msichana yoyote yule, hata kama ana kuzidi kipato kwa kiasi gani, hakikisha wewe ndio unakuwa msimamizi wa show. Ikija bili, akitaka kulipa , mwambie " Please, nitalipa mimi ", hakikisha hauruhusu mwanamke huyo kutumia hata senti tano yake kulipia chochote kile.... Usikubali kumruhusu mwanamke atumie pesa yake kwenye mtoko.Najua una degree, masters,au/na PHD but am sure as hell waalimu wako hawajawahi kukufundisha kitu kama hiki...