Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,675
- 1,754
Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.