Mwanaume

Wewe ni boya hujalala na demu halafu amekwambia ana mimba yako then unajisifia wewe mwanaume huna lolote. Kumbe ndo mlivyo wa wanaume wa mkoani
Hao mademu mnaowaongelea mademu gani?
Kila siku mnalialia tu kitandan hamjiwezi kimoja tu tena cha sekunde tatu chali.. Mademu zenu wamefikia mpaka kununua dildo sasa mtajiitaje wanaume? Mnachoweza huko ni kushindana kujtazama kwenye dressing table na akina lulu
Wala nakushangaa wa mkoani unapelekweshwa kijinga hivyo na demu wako halafu unajiona mjanja hahahahaha
 
Mwambie huyo mwenzio wa mkoani kaja kulia humu kapigwa changa la macho na demu.

Halafu endelea kukariri maisha nyie wa mikoani
 
Mwambie huyo mwenzio wa mkoani kaja kulia humu kapigwa changa la macho na demu.

Halafu endelea kukariri maisha nyie wa mikoani
wanaume wa dar ndio mnaoongoza kwa stress za mapenzi, ndio maana badala ya kufanya kazi mnashinda tu mkijipodoa ili muonekane wazuri
 
wanaume wa dar ndio mnaoongoza kwa stress za mapenzi, ndio maana badala ya kufanya kazi mnashinda tu mkijipodoa ili muonekane wazuri
Jidanganye tu wewe wa mkoani. Huyo jamaa yenu kapewa mzigo sio wake akaja kulia humu.

Karibu Dar
 

Duh, watu wengine mnachekesha sana kwa comments zenu, nimeipenda hiyo ya kuvaa suruali matakoni...
 
Mwanamke kwenye daladala alijitolewa kukabiliana na mwizi aliyeshika panga na bisibisi ila wanaume wa dar walitokea madirishani wakakimbia
Umenikumbusha kitabu cha Hawa the bus driver
 
Wanaume waliingia mtoni kumsaka mamba ila wewe ulikimbia au sio mwanaume wa mkoani.
 
Hahahaaaaa!! Uwiii kweli wanaume wa dar wanalo.
 
Ww unafikir mwanaume anayesuguliwa kucha na mwanaume mwenzake anaweza kupambana na mziki huo.

Mwanaume kazi kushindana na watoto wa kike saruni kupaka make up uson na kuchonga kucha
Umesahau umbea na sifa za kijinga.
 
Umesahau umbea na sifa za kijinga.
Misifa mingi kazi hamna wanagongewa wake zao, kuhudumia hawawezi, kitandan zero, kazi kushinda mliman city kuweka mashindano ya mavaz na wake zao,
 
Akili za kujikoboa na kuvaa kata k au una maana gani wewe mwanaume wa dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…