Mwanaume yupi anafaa?

Hapo kuna plan A na B, ndo hapo inabidi uchague plan gani unahitaji.
 
Akishakuoa atakuhudumia tu. Hakuna mwanaume ambaye hawezi kuhudumia family yake hasa anapokuwa na mishe mishe mjini!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na analala nao wote na kila mmoja anahisi yuko peke yake.
 
Na analala nao wote na kila mmoja anahisi yuko peke yake.

Mkuu, ndiyo wanawake zetu wa kibongo hao. Full umalaya!

Amewapanga wanaume wawili. Kila mmoja anapewa nyapu kwa ratiba yake.

Angekuwa ni mwanamke wa kutulia na man mmoja, wala asingeleta uzi huu.

Anayemgonga vizuri hampi pesa. Anayempa pesa (huduma) hamgongi vizuri. Bidada kapagawa aolewe na yupi.

Nothing but bittching!!

Bora nikaoe majuu. Bongo miyeyusho!

Mapenzi Ulaya. Bongo biashara.

-Kaveli-
 
awaache wote, atafute mwengine anaefit kote kuwili
 
Nimemuombea mtu ushauri kama huna cha kukomenti usihukumu mtu

Kila mtu ana stori ya maisha yake, Tumshairi tusimhukumu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuombea ushauri wewe kama nani ?, wewe ni mamaushauri ?, kwani yeye hawezi kuandika ?, wanawake mna matatizo saana, ndio mnataka 50/50 wakati hata hamuwezi kuchagua nini cha muhimu
 
Huyo mwanamme wa kwanza yupo kama mimi
 
Eti hii imemtokea staff mwenzangu! si useme tu kua imekutokea wewe? unatufanya sisi kua tuna akili ndogo kama zako? Endelea tu kugongwa na wote,hakuna muoaji wala muolewaji hapo,wewe mwenyewe kitendo cha kuchanganya wanaume wawili kwa wakati mmoja kinakufanya uikosa sifa ya kua mke kwa wanaume wote hao wawili,Mungu awanusuru hao wanaume wasipotee njia na kutumbukia kukuoa wewe.
 

Mtu anaweza kujifunza mapenzi na kufanikiwa kumridhisha mwenziwe muhimu kuelezana, ila roho mbaya na ubahili hauna tiba wala kujifunza kuuepuka au kuacha.

Halafu hali za kimaisha( kipato kidogo au kikubwa) sometime huwa ni temporary as long as mtu bado anapambana na kama unaamini/anaamini katika mapambano yake.....

Changanya na zako

Alexander The Great
 
A good dick can ruin your life if you're not careful.[emoji19]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aolewe na anayempenda kwani akishamuoa ubahili utapungua kupitia kiapo cha ndoa. Kama ataweka tamaa ya mitoko na pesa aolewe na asiyekuwa na hisia naye ila lazima atachepuka tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…