Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,548
Wanawake wa siku hizi bana..Vyote tu usiwe nao uwe nao km on bed ni fa fa fa fa andaa dawa ya maumivu
Haya basi kuwa na wivu ntaridhika , ila kwa povu Hilo hahahahahaha poleWanawake wa siku hizi bana..
Yani we tokea uvinje ungo unakata mauono....Sekondari umeamilza darasa zima...Advance unagawa nyuchi tuu....Chuo ndio usiseme....Kazini ndio balaa....
Halafu nije nikuone eti nikuridhishe.. ?? Huo si utani.. ???
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Aisee imenikumbusha mbali hayo mambo ya wanaume kuwa na wivu siku hiyo napiga stori na rafiki yangu ananiambia huko anakoishi kuna mwanaume yaani mkewe akienda mjini basi akirudi anataka avue nguo zote kisa apande kitandani amuangalie kama hajatoka kuchepuka.
Wivu unatakiwa ila wa kiwango kama hiki ni utumwa aisee. Wanaume punguzeni wivu jamaani.
mhh,,,,,,,,,,,Vyote tu usiwe nao uwe nao km on bed ni fa fa fa fa andaa dawa ya maumivu
Aisee imenikumbusha mbali hayo mambo ya w.anaume kuwa na wivu siku hiyo napiga stori na rafiki yangu ananiambia huko anakoishi kuna mwanaume yaani mkewe akienda mjini basi akirudi anataka avue nguo zote kisa apande kitandani amuangalie kama hajatoka kuchepuka.
Wivu unatakiwa ila wa kiwango kama hiki ni utumwa aisee. Wanaume punguzeni wivu jamaani.
Wivu ni automatic
Vyote tu usiwe nao uwe nao km on bed ni fa fa fa fa andaa dawa ya maumivu
Mkuu..
Wivu wa namna hii unaitwa KUTOKUJIAMINI...
Wanawake msikubali kuingia kwenye mahusiano na mwanaume asiyejiamini..ni mzigo kuliko doza la maji taka..
Yap wivu unaboa lkn bed inaboa zaidiahahaha sijui kwann unanichekeshaga jaman !hv hujanywa kweli wine leo ? yaan nimechekaaa !jaman bora ashindwe bed kulikowivu wa kijinhga unakeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ukitoka ofisini unakaguliwa simu na pochiumesema kweli kbs mkuu !hata akikuona unacheka na simu yako ananuna !uende gengen kosa !yaan kila kitu kwake ni kosa !jaman jaman jaman jaman jaman !kuna wanaume hata akuone na mwanamke mwenzako bado atasema !unaongozana na mashannging wa mji !ah jaman !hapana aisee
Yap wivu unaboa lkn bed inaboa zaidi
Afadhali kwa kucheka mi sio mnywaji ujue nipo na akili yangu kamili
Kweli kabisa mkuu. Kama mie nisingeweza aisee kwa sababu hata kama ni mume huo hauna tofauti na udhalilishajiMkuu..
Wivu wa namna hii unaitwa KUTOKUJIAMINI...
Wanawake msikubali kuingia kwenye mahusiano na mwanaume asiyejiamini..ni mzigo kuliko doza la maji taka..