Mwanaume wanavunda sababu ya uchafu.

Siku zote baadhi ya wanaume wakiambiwa kweli wanajifanya wakali. Sidhani kama mlioko humu jf wote ni wasafi hivyo kwa baadhi lazima ujumbe utawagusa kwa namna moja.

Kwa wale wachafu mbadilike.
Fact
 
KUMBE MGENI UNA KAMBA MGUUNI have notice it
 
Ukiwa msafi utampimaje demu unayetaka kuoa, nifanye usafi ili Nije oa demu livivu kama mtoa Mada, hayo ni majukumu yako mwanamke na ni kipimo mojawapo cha kutafuta mke kwa mwanaume!
 
Hilo kutoka kwako sishangai hata kidogo shemeji.

Mmepewa ushauri wa usafi, kuweni tu wasafi maana ni njema kwa afya zenu pia, haina haja ya kuanza malumbano.
Hata kama hainihusu, lakini siwezi kuona wanaume wanashushuliwa then mimi nikaushe,
Nilishakula kiapo cha kumtetea Ninja yeyote na popote pale,
Kwangu Mimi uanaume kwanza then wanawake baadae
 
Ukiwa msafi utampimaje demu unayetaka kuoa, nifanye usafi ili Nije oa demu livivu kama mtoa Mada, hayo ni majukumu yako mwanamke na ni kipimo mojawapo cha kutafuta mke kwa mwanaume!
Mkiambiwa ukweli mapovuu hahaaaaa JF rahaa,team wavundaji wamejulikana
 
Hata kama hainihusu, lakini siwezi kuona wanaume wanashushuliwa then mimi nikaushe,
Nilishakula kiapo cha kumtetea Ninja yeyote na popote pale,
Kwangu Mimi uanaume kwanza then wanawake baadae
Uwatetee team wavundaji waambie wabadilike wawe wasafi ili nyuzi za kulia umu kusalitiwa zipungue ,unakuta mwanaume ananuka kikwapaa ka mzoga mmmh kwapaaaaaa lina toaharufu ka vile sijui nn akikupita unatamani utapike lol! M badilike muige wenzenu ambao wapo wachache sana wapo vijana wasafi adi raha lakini mingine lol ka mibeberu
 
Ukiwa msafi utampimaje demu unayetaka kuoa, nifanye usafi ili Nije oa demu livivu kama mtoa Mada, hayo ni majukumu yako mwanamke na ni kipimo mojawapo cha kutafuta mke kwa mwanaume!
Usipaniki mkuuu bado unanafasi yakubadilika.
 
Tuanzie hapa: Umekwisha watembelea Wanaume wangapi ukakutana na hayo mambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…