englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
The Man Himself, Adolf Hitler.
Hiyo alama kwenye shati imenitoka. Ngoja nimuite kaka yangu Kiranga anisaidie.
Huyu mtu kumuona picha yake hapa nachefuka roho.
Hiyo alama inaitwa Swastika.
Yeah Swastika. Thank You. Ilinitoka hasaaa.
Pole kwa kuchafukwa roho.
Is it because of the Holocaust?
Hiyo inaitwa Swastika.
Jisomee hapa: Swastika - Wikipedia, the free encyclopedia
Na hapa: History of the Swastika
Angefanikiwa mpango wake mzima ulikuwa kuwabanika watu weusi baada ya Wayahudi.
Nashangaa kuina kuna baadhi ya Waafrika wanamshobokea humu.
Nooooo! For real?
So the Nazis were superior to all other human beings in his opinion?
I read somewhere about his prowess in Art.
Do you know anything about that?
He was a two bit Vienna tramp who aspired to be an artist, but couldn't even qualify to go to art school.
He was of the opinion that white people, Aryans to be exact, were superior and the rest of the world's population was here to either swrve them or be gassed so to save resources.
Angefanikiwa mpango wake mzima ulikuwa kuwabanika watu weusi baada ya Wayahudi.
Nashangaa kuina kuna baadhi ya Waafrika wanamshobokea humu.
For more see "The Rise and Fall of The Third Reich" cha William Shirer.
The Fuhrer alikua na mazuri yake somehow someway. Sisi wanasayansi tunamkumbuka kwa kupromote na kufinance baadhi ya wanasayansi aliowachagua kujaza interest zake. Baada ya kushindwa vita wanasayansi hawa mahiri waligawanywa baina ya Urusi na USA (ambao baadhi yao walipata shavu mpaka kuongoza vitengo CDC). Kwa hili aliweza na alitambua umuhimu wa sayansi.
Sijasema yeye alianzisha, maana kabla yake his country of origin (Austria) na Ujeremani ilikua ni korido ya thinkers na wanasayansi kadhaa ambao kufuatia tibwili alilolianzisha ilibidi kuacha kazi zao na kukimbia na kutoroka hususan wale waliokua na asili ya kiyahudi na wengineo.Kutambua umuhimu wa usomi na sayansi kulikuwapo Ujjerumani kabla ya Third Reich.
Hamna binadamu ambaye ana mazuri tu au mabaya tu, thats obvious. Ikiwa Fuhrer angekua muovu kabisa kabisa asingeweza kua kiongozi na kupata ufuasi wowote significant.Na kusema alikuwa na mazuri yake kwa kutambua umuhimu wa sayansi baada ya mauaji yote hayo, ni sawasawa na kusema "muuaji alikuwa na roho nzuri, kwani ingawa aliua watoto, kabla.ya kuwaua aliwanunulia peremende"
Sijasema yeye alianzisha, maana kabla yake his country of origin (Austria) na Ujeremani ilikua ni korido ya thinkers na wanasayansi kadhaa ambao kufuatia tibwili alilolianzisha ilibidi kuacha kazi zao na kukimbia na kutoroka hususan wale waliokua na asili ya kiyahudi na wengineo.
Hamna binadamu ambaye ana mazuri tu au mabaya tu, thats obvious. Ikiwa Fuhrer angekua muovu kabisa kabisa asingeweza kua kiongozi na kupata ufuasi wowote significant.
It is obvious, kuthamini sayansi na maarifa kulimshinda hata 'mtakatifu' Nyerere na waliomfuata hadi leo. Fuhrer was better.. eer than JK.You are stating the obvious.
It is obvious, kuthamini sayansi na maarifa kulimshinda hata 'mtakatifu' Nyerere na waliomfuata hadi leo. Fuhrer was better.. eer than JK.