jaqfantasy212
JF-Expert Member
- Dec 17, 2012
- 542
- 258
We acha tu..ndoto yako nzuri
Mapenz hayagawanyiki mkuumimi nimebakiwa na nafasi moja....njoo ndoto yako itatimia
Sawa!!
Je wewe umeshaona mengi kiasi kwamba huoni jipya!?, au utaanza kukimbilia masharobalo waliovaa mlegezo na macheni kibao shingoni?
Wewe mwenyewe unajitambua unataka nini!?, do you have a destiny au unaishi tu ili mradi kunakucha?
Ni muhimu kujua kuwa huyo mwanaume nae atahitaji sifa flani kutoka kwako pia..
Vipi na wewe umeshapitia mambo mengi-kukutana na wanaume wengi kiasi huoni jipya kutoka kwao hivyo kutulia ktk ndoa.Coz nisije kukuoa halafu kesho na keshokutwa unapoziangalia tamthilia za bongo muvi zinazofundisha usaliti na wewe unaanza michepuko.Tuambie kabisa je umeshakutana na midushelele tofauti tofauti?
nani ka kwambia....?Mapenz hayagawanyiki mkuu
Mkuu ukiamua kubisha we bisha tu, ila mapenz ya kweli hayagawanyiki, ukiona mtu anagawa mapenzi ujue hapo kuna walakini..nani ka kwambia....?
Mkuu ukiwa unareply just relax, elewa nilichosema sijasema nimepitia kila aina ya mwanaume ila nilichojaribu kusema ni kwamba katika mahusiano mtu unaweza ukawa umepita katika mahusiano labda mara tatu, nne mpk 5 si kwakupenda ila mara zote hizo umefikia katika mikono isiyo sahihi, je utaendelea kuwepo kwenye mahusiano hayo?Mimi sitaki mwanamke aliyepitia kila aina ya mwanaume kama wewe...