Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu. Namaanisha kbsa.
Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo na hii ni kwaajili ya kunipa mimba tu baada ya mimba sitahitaji tena mawasiliano nae, mtoto atakaye zaliwa atakuwa wa kwangu 100%.
Naweza kumlipa ili asinifuate tena.
Sifa zake
Mrefu, Maji ya kunde.
Mume wa MTU
Miaka 34 nakuelendelea
Mwenye uwezo wa kutungisha mimba
Kabila lolote kasoro, mzalamo, mkurya, muhaya, muha , mnyaturu, mpare, mnyakyusa, mnyamwezi na mgogo.
Zingatia kazi ni moja kunipa mimba baada ya mimba kila mtu anashika uelekeo wake.
Anayejiona anasifa karibu pm.

Unaposema mtaani unakosea.Popote anaweza akampata hata hapa tulipoWanaume wote mtaani hukuona wa kukuzalisha bidada mpaka unakuja kutafuta humu?
Kweli haya majanga, ukifanikiwa kupata usiache kutupa mrejesho.
Ni kweli kiongozi, popote unaweza kupata lakini sio kwa namna hii mpaka kuweka matangazo... Watu watajiuliza maswali mengi yasiyo na majibu.Unaposema mtaani unakosea.Popote anaweza akampata hata hapa tulipo
Bora umshauri mwanamke mwenzioNdugu yangu maumivu yamapenzi yasikufanye uje kujutia maisha yako yote
Na ww sofa zako weka bayana, sarafu ina pande mbiliNatafuta mwanaume wa kuzaa nae tu. Namaanisha kbsa.
Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo na hii ni kwaajili ya kunipa mimba tu baada ya mimba sitahitaji tena mawasiliano nae, mtoto atakaye zaliwa atakuwa wa kwangu 100%.
Naweza kumlipa ili asinifuate tena.
Sifa zake
Mrefu, Maji ya kunde.
Mume wa MTU
Miaka 34 nakuelendelea
Mwenye uwezo wa kutungisha mimba
Kabila lolote kasoro, mzalamo, mkurya, muhaya, muha , mnyaturu, mpare, mnyakyusa, mnyamwezi na mgogo.
Zingatia kazi ni moja kunipa mimba baada ya mimba kila mtu anashika uelekeo wake.
Anayejiona anasifa karibu pm.
Afadhari wangoni hatujatajwa... Nina vigezo vyote tajwa.. NJOO INBOXNatafuta mwanaume wa kuzaa nae tu. Namaanisha kbsa.
Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo na hii ni kwaajili ya kunipa mimba tu baada ya mimba sitahitaji tena mawasiliano nae, mtoto atakaye zaliwa atakuwa wa kwangu 100%.
Naweza kumlipa ili asinifuate tena.
Sifa zake
Mrefu, Maji ya kunde.
Mume wa MTU
Miaka 34 nakuelendelea
Mwenye uwezo wa kutungisha mimba
Kabila lolote kasoro, mzalamo, mkurya, muhaya, muha , mnyaturu, mpare, mnyakyusa, mnyamwezi na mgogo.
Zingatia kazi ni moja kunipa mimba baada ya mimba kila mtu anashika uelekeo wake.
Anayejiona anasifa karibu pm.
Tutashudia mengi awamu hii. Yaani mpaka Magu akatoboe, tutakuwa tumeshuhudia mengi sana.Ndo nyie waiba nyota za wanaume punde wanapolala na nyie ,,,katafute hao wanaume huko uswahilini sio humu kwenye great thinkers
Muulizeni na yeye ni mrefu?weka picha yako tuone
Zote hizo sifa zako nnazo. Umri sasa, 30 na sio mme wa mtu. Sijui nikusadiaje?Sihitaji kuolewa kbsa
Nipo mama karibu sanaNatafuta mwanaume wa kuzaa nae tu. Namaanisha kbsa.