Umeelewa topic? Vyovyote vile lakini lazima utatoa pesa ya huyo mtoto kufanyiwa sherehe. Je kweli utashindwa kuandaa mahitaji muhimu ya mkeo kujifungua?Inategemea na makabila kwanza alafu mwanaume kuandaa shughuli ya kumtoa mtoto arobaini watu waje wacheze chura au? Hayo mambo ni ya kina mama wanawake ndo wana huo upuuzi ili watunzwe sasa me na midevu yangu namtoa mtoto arobain ili washkaji wanitunze au
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vyema kujiandaa kuliko kusubiri vya bure.... Bure huleta tafraniMm ninachojua mke wangu anajiandaa kujifungua next 2 weeks, nimeshamnunulia kila kitu sitaki kusikia kitu BURE, najua bure aghali! Hata wahenga walishasema
Umeelewa topic? Vyovyote vile lakini lazima utatoa pesa ya huyo mtoto kufanyiwa sherehe. Je kweli utashindwa kuandaa mahitaji muhimu ya mkeo kujifungua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Mkuu umenenaNi vyema kujiandaa kuliko kusubiri vya bure.... Bure huleta tafrani
Ukiwawezesha wanawake umewezesha jamii
kwa maelezo haya ni aidha wewe ni tajiri au tasaHahaha acheni ujinga, gloves zipo hospitali, ndoo na beseni yanini anajifungulia kwenye ndoo au hilo beseni?!
Kila siku tunasoma na kuona hospitali zimepewa vitanda vya kujifungulia, nyie mnanunua ndoo na mabeseni.
Yani hospitali gani haipati gloves mpaka mnunue?! Hospitali gani haipati au haina gauze mpaka mnunue?! Na hizo gauze na pamba mnazitumia wakati gani?!
Mwanamke anajifungua wanakata umbilical cord, placenta linatoka wanamsafisha kwa maji kwisha.
Mnajadili vitu gani na nyie?! Eti zitto naye yumo, angemuuliza Dr.Kugwangala au Dr.Ndugulile wange mueleza mazingira ya labor yako vipi na process iko vipi.
Jamani mmeshindwa kujadili issues mnahadili rushwa za watendaji wa hospitali?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinauzwa na msd kwa bei poaHuwa kuna zile maternity package zinazotolewa bure hosp, ni mkoba/mfuko unakuwa na vifaa vyote vya hosp ambao hutolewa bure hivyo mama atahitajika kununua khanga, beseni na vingine ambavyo si vya kitabibu.
Sent using Jamii Forums mobile app