Lenin V.I.U
JF-Expert Member
- Mar 28, 2014
- 218
- 62
Wana Jf msaada wenu tafadhari, nina rafiki yangu anasoma chuo kimoja dar yeye ni mchaga wa rombo, sasa kuna mkaka mmoja muha wa kigoma amempenda sana, kaka yule anataka amuowe sasa akaniomba msaada juu ya tabia za hawa watu wa kutoka kigoma huwa wako vipi. please mwenye experience na watu hawa hasa wa kiume, msaada tafadhari
Kama mtu amekuuliza haufahamu, ungejibu haufahamu then story imeisha.
Maswala watu mnakuja na mambo yanayowahusu halafu mnasema "rafiki yangu" "dada yangu" "jirani yangu" n.k TUMEWACHOKA. Sasa jiandae kurogwa na huyo muha wako.
MCHUNGUZI HURU
Kuna rafiki yangu kaoa muha
kweli yule dada anaheshima sana.
Yaani jamaa akikoroma tu,waifu anaanza kulia.
Ila upande wa wanaume ni watata wengi wanahistoria ya kumuacha mke wa kwanza,wenyewe wanaamini mke wa kwanza ni sehemu ya kujifunzia..Course work
so mwambie ajiandae kwa kila hali
sheeeeee mchaga wa rombo+muha=ERROR .....Change server
Wana Jf msaada wenu tafadhari, nina rafiki yangu anasoma chuo kimoja Dar yeye ni mchaga wa rombo, sasa kuna mkaka mmoja muha wa kigoma amempenda sana, kaka yule anataka amuowe sasa akaniomba msaada juu ya tabia za hawa watu wa kutoka kigoma huwa wako vipi.
Please mwenye experience na watu hawa hasa wa kiume, msaada tafadhari