Anajali even when Im broke and confused, Ana uvumilivu na hatetereki muda wote ana uso wa furaha hata uchumi ukiwa ovyo kiasi kwamba ananiambukiza matumaini na faraja akiwepo, ni mshauri mzuri, sio mchoyo, tunapatana automatically, ananiheshimu na mengine mengi.