mwanaume wa hivi unamuelewaje?

mwanaume wa hivi unamuelewaje?

si ndo kamchezo kenu hako. kudadek mama iyo imekula kwako, ukome kutumia mimba kama silaha ya kuhamia kwa mwanaume!
 
Sasa kama wew ulikuwa unampima huoni kama na yeye anakupima aone msimamo wakoo
 
Kuelewa hujaelewa hata picha huelewi pia
 
Mmhhh,hali tete,bora kusubiri jamaa akuoe kwanza,..
 
Na wewe unatupima sisi ?

:msela: napita
 
Mmmnh... Ukiamua kubeba mimba kabla ya ndoa lazima uwe na maandaliz ya kivyako vyako...!
ndoa hizi mda mwingine hazieleweki anaweza akaolewa ndo yakawa majanga heri hata ya kuwa single mother! afu sio kila mtu ameandikiwa ndoa jamani acheni kukariri!!!
 
ndoa hizi mda mwingine hazieleweki anaweza akaolewa ndo yakawa majanga heri hata ya kuwa single mother! afu sio kila mtu ameandikiwa ndoa jamani acheni kukariri!!!
Mungu alimuumba Adam na Eva maana yake kila mwanaume ameumbiwa mwanamke wake hayo ni maneno ya kujifariji tu wewe kama umeamua kuwa singo maza sawa ila usiseme kuwa ndiyo ulivyopangiwa,nani alikupangia? na uliona hiyo mipango na ukakubaliana nayo? au imekuja baada ya kuharibu sehemu?
 
Heheee sometimes mtu kuambiwa 'mungu atakusaidia'inakuwa kama tusi
 
Stable woman umeongea mama ni kweli si wote kuwa wameandikiwa ndoa na ndoa hailazimishwi huja automatically mama akili kumkichwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom