Mwanaume wa Dar akijiandaa kutizama sultan

Hivi mikoani hua hamna wanaume ? Mbona Dar tu ndio inaonekana ina vidume
 
Kwa asiyewahi kufika dar watu wake wapo simple wana masiala hawana nguvu ila amini kwamba kuhama mji kwa ajili ya mpumbavu mmoja hawashindwi
 
Kuna watu wengi wakitoka huko kwao wakifika Dar hawajui wafanye nini. Watu wa aina hiyo wanakuwaga na jealous sana na wazawa wa Dar es salaam.
 
Kuna watu wengi wakitoka huko kwao wakifika Dar hawajui wafanye nini. Watu wa aina hiyo wanakuwaga na jealous sana na wazawa wa Dar es salaam.

Na wanakuwa na tamaa sana ndiyo maana wengi wanaishia kuwa machokwo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…