Mwanaume vs mwanamke

Mwanaume vs mwanamke

Kama ww nimwanaume basi ukwel unaujua at the age of 20s ulikuwaje kama bado hujafika basi utafika kama ni mwanamke basi uliza kwa wanaume then come and share ur ideaz
Hawatakuelewa na umri huo ndiyo wanawake walio olewa wanachepuka sana waume zao wanafanya wapo busy kumbe ni dolo wanasingizia kazi nyingi majukumu kumbe hamna kituvni bila bila
 
Hizi ni kampeni za wapinzani wa chama tawala cha chaputa. Hivi watu wa vyama pinzani hamtaki kutii agizo la mwenyekiti wa chama tawala kuwa kampeni mpaka mwaka kesho? Kwa hili siwezi lifumbia macho lazima tulifuatilie!!!!!
 
Nyeto Hushushaa uzalendo wa taifa kwa kijanaaa epukaa CHAPUTA
 
m
Mwanaume anapo kuwa kwenye age ya 20s anakuwa very sexual active na huwa asilimia kubwa ya akili zao huwaza sex kitu ambacho kinakuwa kinyume na wanawake wao kwenye hii age 20s huwa hawapo sexual active as boys.

Wanawake wanapo fika age 35 and above wanaanza kuwa sexual active hasa hasa wanapo fikia age ya 40s kitu ambacho ni kinyume na wanaume

So plz plz wanaume angalia sana usitumike sana kwenye hii age 20s hasahasa wale wanaofanya masterbation surely am telling utakuja kujutia unapofika age 40s utaona kama ni familia mke anauhitaji sana lakn mume uwezo na uhitaji umepungua kwa kias kikubwa na ukichunguza kwakias kikubwa hii ndo huwa chanzo cha wanandoa kuchepuka .

So nikushaur ww mwanaume unaefanya nyeto jifunze madhara ya nyeto kisha fanya maamuz nyeto inafaida na hasara ukijaribu kulinganisha kweny mzani utaona hasara ni nyingi na mbaya sana kulinganisha na faida jithamini jione mwenye thamani sijaribu kuudhuru mwili wako kwa nyeto ambayo inakupa furaha ya muda mfupi tu.
mkuu acha kuvuruga chama chetu huo ni uchochezi ujue mwenyekiti anakuskia ujue
 
Back
Top Bottom