miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
hiyo namba tatu ha ha ha!!! unaonekana upendi kumwonea mwanamke vizuri sana ila kuna ambao kama mijianaume any way ni vizuri.
Kuna mvumilivu mmoja nilikutana naye wakati bado natibu Hospitali...huyu jamaa alikuwa Polisi anaishi kwenye kota za Polisi, akamfumania mkewe na Polisi mwenzake kitandani kwao wakibanguana! Polisi doezi likakimbia mbio uchi wa mnyama, jamaa akaanza kumhoji mkewe kulikoni, akajibiwa "usin'tishe, nampenda na simuachi"...jamaa akaenda jikoni akachukua kisu akajichoma tumboni. Kaletwa hospitali utumbo unaning'inia...lakini HAKUMPIGA MKEWE..AT ANY COST!
Heaven on earth anakudanganya huyu, kama wale wamama wa TAMWA!.I love your Insight.........
kweli ka mkubwa umenena vyema japo wachache tulio na mawazo kama hayo hatueleweki,ila huo ndo ukweli hata kwangu ni rahisi kumuacha wife kuliko kumpiga.Haipo hata moja itakayo fanya nimpige/nipigane na mke wangu.
Ila zipo nyingi zitakazo fanya niachane nae:
1. Kumtukana au kumdharau mamangu kwa sababu yoyote iwayo.
2. Kwenda kinyume na imani yangu.
3. Kutoka nje ya ndoa kwa sababu yoyote iwayo.
Mengineyo yote,yana vumilika.
Note: Siwezi kumpiga mwanamke na ukurya wangu wote. Believe it,or leave it.
Tatizo ni nini?
Kuna makosa ya kufikishana huku na kuna makosa ya kipigo!
Aisee huyo dada si mstaarabu kabisa, halafu nimchokozi!
Haipo hata moja itakayo fanya nimpige/nipigane na mke wangu.
Ila zipo nyingi zitakazo fanya niachane nae:
1. Kumtukana au kumdharau mamangu kwa sababu yoyote iwayo.
2. Kwenda kinyume na imani yangu.
3. Kutoka nje ya ndoa kwa sababu yoyote iwayo.
Mengineyo yote,yana vumilika.
Note: Siwezi kumpiga mwanamke na ukurya wangu wote. Believe it,or leave it.
Haipo hata moja itakayo fanya nimpige/nipigane na mke wangu.
Ila zipo nyingi zitakazo fanya niachane nae:
1. Kumtukana au kumdharau mamangu kwa sababu yoyote iwayo.
2. Kwenda kinyume na imani yangu.
3. Kutoka nje ya ndoa kwa sababu yoyote iwayo.
Mengineyo yote,yana vumilika.
Note: Siwezi kumpiga mwanamke na ukurya wangu wote. Believe it,or leave it.
mi hata akinichekea wakati sicheki...amecross the line.Ha ha ha,hapo itabidi aniambie kibamia ka-compare na kipi.
Na baada ya kuona na-kibamia what next? Nikiongeze au anaenda tafuta kingine?
Kyaiyembe sasa lipi ni sahihi.........Heaven on earth anakudanganya huyu, kama wale wamama wa TAMWA!.
..wanawake ni wachokozi mno....
akiniambia nina kibamia nampiga mangumi.
Hapo ni kuondoka tu kuepusha shari. Ugomvi sio mzuri hasa ukiwa na hasira ni bora kuwa kimya.
Hapo kwenye kisungu ndio umeniacha msituni chalii yangu mada iko poa ila ungeshuka kibongo tu kuongeza wigoJe ni kauli gani inayoweza kukufanya wewe kama mwanaume ambaye mstarabu umpige mpenzi/mke wako. You gotta know that this doesn't relate to me at all. Please understand me here I'm not saying kupiga ni acceptable it should be avoided at all cost, whether umemfumania au umekasirishwa kwa lolote lile. All I'm trying to find out is what makes you EXPLODE. I hope you get ma drift. Kauli gani inaweza kukutia hasira hadi ukauweka ustarabu wako pembeni?
Kauli zinazokufanya UmButue Mke/Mpenzi wako
Please don't comment things like ohh I'm an angle and I can't raise my hand to beat a woman, there is a line that just can't be corssed for everyone. Like they say Life isn't fair and you can't expect a raging bull not to charge just because you are a vegetarian. You may be cool but what abt the person you are with??????
This is what made me think about this, Jana baada ya long day at work nikiwa close to home nika drop kwenye supermarket moja kuchukua japo ka milk. Unfortunately nika bump into a smart dressed man akageuka na kusema sorry siko vizuri siku ya leo then suddenly akatokea mwanamke huko alikotoka bila salamu au nini na kumwambia mshkaji muone kwanza " ! Mwanaume Utakuwa Wewe !!!!!!!!!!! " Puuuuuu alafu akamtemea mate usoni na kusepa. Not to mention baadhi ya cheche zilinirukia. Trust me I'm a very friendly man but if I was that dude at that time in public, Yule Mwanamke ningemtandika Makonzi mazito kishenzi palepale.
punda??!emu leta heshima kama unajihisi unaelement za upunda unataka kutuaminisha na mama yako pia anazo??! mwanamke ni mtu pia naye anahasira sema kukupiga hawez ndo maana anaongea hivyo usisubutu kumgusa mwanaume halisi hupigana na wanaume wenzie
unaijua heshima ww au unataka arguements zisizo na mashiko hapa,,,,,,kwani mtu anapokwambia una akili kama za mbayuwayu inakugeuza ww kutoka ulivyo au kinakubadilisha nini,,,,,,,,,mind your own business mimi ni mwanamke na nimeongea hivyo najua nini nimemaanisha sio kukurupuka tu.
me pia mwanamke stress zako zisikufanye utushushe wanawake kiwango cha punda dada we ni mtu huna kasoro yoyote uko kamili hivyo ulivyo kwa mpango wa mungu.labda ungesema some tymz mm asnum nakuwaga kama punda isingenihusu hata kidogo ila huwez sema wanawake alafu utegemee support naijua heshima vizur sana ndo maana nimekukumbusha ur mother can never act lyk punda!!!