" ! Mwanaume Utakuwa Wewe !!!!!!!!!!! "

" ! Mwanaume Utakuwa Wewe !!!!!!!!!!! "

mimi ni mwanamke, siungi mwanamke kupigwa but mwanmke akimsogelea mume wake karibu sana(some cm) huku anafoka kwa maneno makali, hiyo ni catalyst ya kupigwa kibao cha chapchap!
 
Eiyer ni maneno gani ambayo unahisi unaweza ukashusha kichapo kwa mtu hata umpendae?

Hapana!
Kuna binadamu bila kipigo hawaendi

Na kuna makosa yanastahili kipigo
Sio sahihi kuzuia kipigo "at any coast"
Kipigo ni fundisho

Ila hapo kwenye kufumania napinga kipigo kutumika!!!!!
 
Last edited by a moderator:
huyo mwanamke sio mstaarabu hata kidogo
hana heshima
si rahisi kutoa kauli hiyo tena mbele za watu wengine
hajiheshimu na hastahili kuheshimiwa pia

alafu:kupiga mwanamke sio kufundisha
 
mwanamke anaweza kukuprovoke to the extent ukimwacha ivi ivi bila kipigo hata mwenyewe atashangaa wewe ni mwanaume wa namna gani

Hii ni kweli
Halafu jambo hili linahusiana na maumbile pia
Mwanamke usipomuonesha kwa vitendo[kauli na mara chache kipigo stahiki] anaweza kukuona sio!
 
Mimi nyuzi zilizochanganywa lugha huwa zinaniboa sana, kwani ukitumia lugha moja hutaonekana msomi?
 
Kama wewe mwanamke unajiamini thubutu.. Kumwambia mpenzi wako
"Ndio maana hujui kunifanya vizuri" mbele zawatu uone atafanyaje
 
Eiyer ni maneno gani ambayo unahisi unaweza ukashusha kichapo kwa mtu hata umpendae?
Sio maneno tu hata vitendo pia vipo vinavyostahili kipigo
Hapa naweza nisiseme kwa usahihi kabisa maneno au vitendo vinavyoweza kupelekea nikatoa kipigo
Lakini hiyo haimaanishi hakuna vitendo au maneno ambayo yanaweza kumsababisha mtu yoyte akatoa kipigo
Lakini kumbuka kipigo hicho ni stahiki!

Kupenda ni pamoja na kuonyana yale mabaya
Kama unaemwita mpenzi humuonyi kwa vitendo stahiki kulingana na kosa humpendi hata kidogo!

Kuna upendo na ugonjwa wa hisia
Anaejua upendo hawezi kupinga kipigo stahiki kwenye kosa husika
Mgonjwa wa hisia ndio atapinga!
CC: watu8
 
Last edited by a moderator:
nitamwambia stop talking lets fight......lol (just kidding)! Nitamwangalia kwa dharau na kumuonyesha ishara kuwa she is crazy then nitasepa sitomuongelesha chochote maana kunawengine wanapenda ligi isiyoisha mwishowake akuaibishe buree!

Du...kuna dada amewahi kunambia nitakupoteza hapa mjini au nitakufunga...wakat mi ndo nimemleta hapa mjini, nimemfundisha kiingeleza,nimemtafutia kazi mmi...akaijua bongo...then alipoanza kuhudhulia vikao vya ofs...dhalau mbele...kiwango cha kuja kwangu na mashart yake...ilinilazimu nimuoneshe kuwa yeye ni mke tu...kipondo cha mwizi hospital week.
 
Mh! Sijaona huo mfano wa maneno unayoweza kushusha kipigo!
Leave it!!!
...
Mbona mi nahisi hayo mambo ya kupigana umeyaelezea kiimani zaidi (japo sio kidini)
Jee unamaanisha kama mtu hapigi kabisa, huyu hapendi kiukweli???
Sio maneno tu hata vitendo pia vipo vinavyostahili kipigo
Hapa naweza nisiseme kwa usahihi kabisa maneno au vitendo vinavyoweza kupelekea nikatoa kipigo
Lakini hiyo haimaanishi hakuna vitendo au maneno ambayo yanaweza kumsababisha mtu yoyte akatoa kipigo
Lakini kumbuka kipigo hicho ni stahiki!

Kupenda ni pamoja na kuonyana yale mabaya
Kama unaemwita mpenzi humuonyi kwa vitendo stahiki kulingana na kosa humpendi hata kidogo!

Kuna upendo na ugonjwa wa hisia
Anaejua upendo hawezi kupinga kipigo stahiki kwenye kosa husika
Mgonjwa wa hisia ndio atapinga!
 
duh nishushie kipondo kinacholingana na kosa,sio kipondo hadi nishindwe kutoka ndani weeeeee patachimbika............over
 
Ha ha ha,hapo itabidi aniambie kibamia ka-compare na kipi.
Na baada ya kuona na-kibamia what next? Nikiongeze au anaenda tafuta kingine?

hahahaha, atakwambiaje na wakati huo mchozi unamwagika mingumi uliyompa na wewe ushapoteza confidence ya kiume
 
ni ukweli usiopingika kwamba wanawake wakati mwingine hatupishani na punda yaani bila mijeledi hatwendi mbele,hivyo busara inahitajhika zaidi ikiwezekana kipondo kinahusika pia,,,,,,,,,,,mafeminist nawasubiria hapa.
 
Back
Top Bottom