Mwanaume usimuumize mwanamke

Mmekula maharage ya wapi mbona kipindi choye hili cha uchaguzi mnaandika threadcza huruma huruma tu 😕😕
 

Leo mkuu umenifurahishaa ubarikiwe! Busara hiyo iendelee
 
Kwa kwel haijawah kutokea akaniumiza zaidi ya siku amenibikiri..zaidi ya hapo sisi ni furaha tuu

eeh kumbe kaka SUMBAI amepata kifaa brand new ! amefungua makaratasi mwenyewe...
kaka@sumbai njoo kwa mkeo huku cute b
 

Modern way of thinking. Wanawake wengi siku hizi vichwa panzi, huo ndio ukweli. Beijing imeangusha taasisi ya ndoa. Mnisamehe kama nimekukwazeni lakini ukweli lazima usemwe. Tusipakane mafuta kwa mgongo wa chupa!
 
Ukiwa hujui gereza, unahaki ya kuamini wote waliomo ni wakosaji !!
 

Ongezea na hii
 

Attachments

  • 1444935299583.jpg
    52.5 KB · Views: 185
Sumbai kumbe binge LA mtumishi?
 

Una practice uliyoyaandikaaa lakini?!
 
:thumbup:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…