Mwanaume usimuumize mwanamke

blotter20

Member
Joined
Sep 19, 2014
Posts
53
Reaction score
14
Mwanaume halisi kamwe hawezi kumuumiza mwanamke. Kuwa mwangalifu pindi unapomliza mwanamke. Kwasababu Mungu anahesabu machozi yake.
Mwanamke alitokana na ubavu wa mwanaume. Si kwenye miguu yake ili kukanyagwa. Sio kichwa chake ili kuwa juu yake. Lakini kwenye upande wake ili kuwa sawa. Chini ya mkono ili alindwe. Na baada ya moyo ili apendwe
 


Kwa hyo mwanaume ndo wa kulizwa na mwanamke cyoo@unaongea nn ww m juzjuz tuu nimetoka ku b cheated na girLwangu@afu et unasema bLah blah....
 
Ni kweli mwanaume halisi hatakiw kumuumiza mwanamke, ila mwanamke halisi pia hatakiw kumuumiza mwanaume.

Mungu anahesabu machozi ya mwanamke sio kila mwanamke tuu, na sio katika kila kilio cha mwanamke...huwezi kuwa katika hali za dhambi mf uzinzi ambavyo ni chukizo kwa Mungu baba basi eti mungu akahesabu machoz yako katika hali ya mambo ga dhambi.

Mwanamke alitokana na ubavu wa mwanaume ili awe msaidizi wa mwanaume awe mwenye heshima, mtiifu na mvumilivu
 
Anahesabu hadi machozi ya wanaume bhana.Tena kidume kulizwa ndio balaa!
 
Gal wako kukucheat ni kosa lako. Hukutimiza wajibu wako.

(usipanic, hata sie wanawake tunaambiwa ukiwa cheated hujamtimizia mwanaume wako)
Kwa hyo mwanaume ndo wa kulizwa na mwanamke cyoo@unaongea nn ww m juzjuz tuu nimetoka ku b cheated na girLwangu@afu et unasema bLah blah....
 
Ni kweli Mwanamke (mwenye sifa njema za kike) sio wa kuumizwa kamwe kwsbb Mungu anahesabu kila chozi la Mwanamke,kwanza ni viumbe dhaifu.

ILA sio kila anayeitwa mwanamke basi ni mwenye sifa njema na atapata mtu wa kumtreat vizuri. Ukijiheshimu na kumheshimu Mumeo hata Mungu atakuheshimu.
 
Hii mambo kutokea ubavuni ni uongo mnadanganywa.
Jinsia zote zisiumizane. Haki sawa.
 
Msituumize jamani t
upeni maraha tuu
 

wewe umewahi kumuumiza cute b?
cute b amewahi kukuumiza?
 

Kweli kabisaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…