You didn't catch my point and I don't want to agree with my point of view point yangu ni kwamba mkiishii kwa kupostiana au kuanikana mitandaoni mkija kuachana kwanza kila mtu anajua halafu inakuwa umejipa stress za kujitakia kutoka kwa wananchi kwasababu wewe ulishawazoesha watu huwa mnapostiana hivyo unabaki na stress kama za dokta mwaka na nick wa 2 taikoni soma andiko lote mbona ya kwako ni marefu na tunayasoma.Upewe listi ya ambΓ o hawaposti na wameachana?
Kutalakiana au kuibiwa mke au mume hakuna uhusiano na ku-post au kutokumpost.
Acha Watu wafanye kinachowapa furaha. Kama wewe hiyo sio furaha yako. Au unaogopa ku-post mkeo au mumeo waache wanaoweza.
Kwa sababu wanaoachana ambao hawajawapost wapenzi au wachumba zao ni wengi kuliko waliowapost
Hata sijui km ulikula ban πππWalinipiga ban mbona hujanitetea? Naomba nionee vyeti vyako
Wanajikaza tu kwasababu binadamu huwezi jua yaliyopo moyoni mwake mpaka mtu anaziba comment halafu useme haumii kiufupi wanao post wanachukua mda kupona sema wanajikaza tu na kwasababu wewe umeamua kuwa upande wao basi hakuna haja ya league ni maoni tu.Maumivu ni yaleyale mkuu.
Maumivu kwenye Mahusiano ya ndoa na mapenzi hutokana na kiwango cha mtu jinsi alivyopenda na sio Watu wanaojua hayo mahusiano au jinsi alivyogharamika au kumpost.
Ndio maana wapo wanaojiua kwa kuachwa na hawajawahi kuwapost wenza wao. Lakini hao uliowataja na wengine wengi wanaopost unakuta leo akiachana na huyu kesho anapost mwingine.
Mtumishi yalikukuta nini?? ππππaise...
mbona umeanika ukweli bayana kinagaubaga hadharani tena bila mbambamba π
ndrugo zango ukiona inafaa zingatia ushauri na kutekeleza ushauri huu, ukiona ni wivu tu songa mbele kuposti ili listi ya kupigana chini baadae iongezeke, maana ni suala la muda tu.
Shupaza shingo ivo ivo na uzingatie ushauri wa mafeministi π
R.I.P Laigwanan comrade ENL
yalinifurahisha na kuniimarisha sana mtumishiπMtumishi yalikukuta nini?? ππππ
Ukinikuta nachat humu usiku nipige risasi π€£Ulifanya nini??
Kikubwa raha si ulipata?? Na wote mlikojoa?yalinifurahisha na kuniimarisha sana mtumishiπ
R.I.P Laigwanan comrade ENL
Kwani ulichat na majini au vibwengo?? Mbona sielewi ππππUkinikuta nachat humu usiku nipige risasi π€£
Hao ni wale muda wote wanafatilia nani kafanya nini?? Wakati wenzao wanakula raha wao wanasononeka na msemo wao βMTAACHANAβ πππ
Hawajui hata wakiachana lkn raha wamepata
Kabisaaaa!!! Watu wasiishi maisha yao eti kisa wataachana.!!? Maisha ni sasa kikubwa nafsi isuuzuke buanaaa.!!Wamepata raha na wakiachana kila mmoja anachukua chuma kingine. Wanaendelea ku-post.
Wanajikaza tu kwasababu binadamu huwezi jua yaliyopo moyoni mwake mpaka mtu anaziba comment halafu useme haumii kiufupi wanao post wanachukua mda kupona sema wanajikaza tu na kwasababu wewe umeamua kuwa upande wao basi hakuna haja ya league ni maoni tu.
Kabisaaaa!!! Watu wasiishi maisha yao eti kisa wataachana.!!? Maisha ni sasa kikubwa nafsi isuuzuke buanaaa.!!
Hata km wana connection wao watupe tusafishe na macho ππππ
Kikubwa raha si ulipata?? Na wote mlikojoa?
Basi hapo hakuna majuto πππ
Na ukipata mwingine mpost wala usiogope mtaachana π€£
Hakika kumuanika tu mpenzi hakumpi ruhusa au siyo kigezo cha yeye kwenda kuzagamuliwa, mwanamke anazagamuliwa kwasababu amakubali kutoa papuchi yake.