Mwanaume usidate na mwanamke usiempenda utaumbuka

buzitata

JF-Expert Member
Apr 11, 2017
2,007
7,118
Habarn wana jamv

Huku na kule kama kawaida yangu mimi ni mzee wa kuzoa zoa tu ila hapa yalinitokea puani bila kupenda

Kitaa kuna mtoto alitokea kunipenda sana ila kiukweli mimi ckumpenda hata punje

Ila kwa kuogopa nisije kuonekana punga kwa demu ikabd nishushe mapanga tu

Tukapanga siku tukutane ila kilichotokea ndo sitaman kukumbuka

Yan tupo ndani ila kila nikimwangalia ngoma inakata network kwa bahat nzur mm nna hsia kal ikabd nizifos had zije

Wanaume wenzang hsia znakuja kutokana na unavompenda mtu ukikutana na yaliyonikuta mimi unaweza kuhis ndo ushaanza tatzo la nguvu za kiume coz mm kwa wanawake ninao wapenda nimehurumia sana ni bao nne tena za mwendo mrefu ila huyu nliekutana nae vwili vilipatkana kwa tabu kwel
 
pole sana bora ww unapata chembe za hisia..mimi dem akiwa mchafu na anakiburi huwa sisimamishi kabisa yan hata ajibinue vipi
Mkuu tatizo nlishalipia chumba nkaona kutoka kapa kwa usawa huu wa magu hela yang iende bure tu haitowezekana

Yan nilivuta pumz fasta nikaibana naniliu yenyew ikaanza kudetect gaidi alipo
 
Hisia zinakuja kutokana na mwonekano wa mwanamke Mkuu.

Hata Kama humpendi lakini maumbile yake na sauti yake huweza kuamsha cheche za mahaba.

Suala la kupenda hasa kwa sisi Maplay boy ni ya ziada katika kuamsha hisia zetu
 
Hisia zinakuja kutokana na mwonekano wa mwanamke Mkuu.

Hata Kama humpendi lakini maumbile yake na sauti yake huweza kuamsha cheche za mahaba.

Suala la kupenda hasa kwa sisi Maplay boy ni ya ziada katika kuamsha hisia zetu
Kaka sijamaanisha kumpenda moyoni nimeaanisha mwanamke awe na vitu vingi unavovitaka ww

Na sio kama yaliyonitokea mimi yani nilifosiwa tu sasa nkaona isiwe tabu
 
Back
Top Bottom