Mwanaume unamwachaje mke bila matumizi?

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
321
426
Wajumbe leteni habarii!
Twende moja kwenye mada.Inasikitisha sana kuona mume anatoka bila kujua kinachoendelea nyumbani ikiwamo mahitaji ya ndani hususan yahusianayo na chakula.Hayo yanayohusu nguo na mahitaji ya shule tutayaangalia siku nyingine.Yaaani unakuta nyumbani hamna unga, hamna mboga,wala hela haijaachwa.Mume anatoka akirudi amelewa na anataka chakula.Siku nyingine badala apeleke mahitaji nyumbani anapeleka kwa mpango wa kando na anakula huko huko.Akirudi nyumbani ni kumgombeza tu mwanamke.
==============================
Kuna mzee mmoja hapa jirani imekuwa kasumba sasa,haachi hela na akirudi anataka vitu vya studio.Basi mke amekuwa akijitahidi kumridhisha mumewe angalau kwa wiki kuku asikosekane mara mbili na mapokopoko mengine.Sasa jana kaja hakuacha chochothe ila kakuta ubweche na bonge ya jogoo.Wakati anampongeza mke wake kwa shoo kali (msosi)akakuta mzee mmoja mweupe na ndevu za kuzagaa anakatiza kutokea chumbani kwake.Jamaa si akaanzisha zogo nani huyu na mbona katoka chumbani kwangu.Akaambiwa ni fundi umeme alikuwa anatengeneza taa na ndiye anayewauziaga kuku.
Jamaa akasusa kula................
(Stor itaendelea)
 
Kuna mzee mmoja hapa jirani imekuwa kasumba sasa,haachi hela na akirudi anataka vitu vya studio.Basi mke amekuwa akijitahidi kumridhisha mumewe angalau kwa wiki kuku asikosekane mara mbili na mapokopoko mengine.Sasa jana kaja hakuacha chochothe ila kakuta ubweche na bonge ya jogoo.Wakati anampongeza mke wake kwa shoo kali (msosi)akakuta mzee mmoja mweupe na ndevu za kuzagaa anakatiza kutokea chumbani kwake.Jamaa si akaanzisha zogo nani huyu na mbona katoka chumbani jwangu.Akaambiwa ni fundi umeme alikuwa anatengeneza taa na ndiye anayewauziaga kuku.
Jamaa akasusa kula................
Stor itaendelea...
Umeandika utadhani wewe ndio haujaacha pesa ya matumizi.
 
Mambo ya kwenye majumba ya watu yanakuhusu nini? Isitoshe wote watu wazima .Watajijua wenyewe .
 
Hamna inatuhusu inatutia vishawishi kumbuka mara nyingi hisani hulipwa,huoni mzee baba kaja kufunga taa
 
Wajumbe leteni habarii!
Twende moja kwenye mada.Inasikitisha sana kuona mume anatoka bila kujua kinachoendelea nyumbani ikiwamo mahitaji ya ndani hususan yahusianayo na chakula.Hayo yanayohusu nguo na mahitaji ya shule tutayaangalia siku nyingine.Yaaani unakuta nyumbani hamna unga, hamna mboga,wala hela haijaachwa.Mume anatoka akirudi amelewa na anataka chakula.Siku nyingine badala apeleke mahitaji nyumbani anapeleka kwa mpango wa kando na anakula huko huko.Akirudi nyumbani ni kumgombeza tu mwanamke.
==============================
Kuna mzee mmoja hapa jirani imekuwa kasumba sasa,haachi hela na akirudi anataka vitu vya studio.Basi mke amekuwa akijitahidi kumridhisha mumewe angalau kwa wiki kuku asikosekane mara mbili na mapokopoko mengine.Sasa jana kaja hakuacha chochothe ila kakuta ubweche na bonge ya jogoo.Wakati anampongeza mke wake kwa shoo kali (msosi)akakuta mzee mmoja mweupe na ndevu za kuzagaa anakatiza kutokea chumbani kwake.Jamaa si akaanzisha zogo nani huyu na mbona katoka chumbani kwangu.Akaambiwa ni fundi umeme alikuwa anatengeneza taa na ndiye anayewauziaga kuku.
Jamaa akasusa kula................
(Stor itaendelea)
picha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom