Mwanaume unajuaje umegusa kizazi/yai la mwanamke wakati wa kujamiiana?

kufanakupona

JF-Expert Member
Jun 18, 2015
522
417
Nimeshawahi sikia mara nyingi tu kwamba, wakati unajamiiana na mwanamke, unakuwa unagusa kizazi, yaani yai la mwanamke.

Utajuaje kama hiki nilichokigusa ndiyo kizazi cha mwanamke?

Asante.
 
Wenyewe wenye kiungo husika, yaani wanawake, hawajui kama hapa ninapoguswa ndiyo kizazi(yai).
Kila mwanamke ninayekuwa naye faragha nikimuuliza nakigusa kizazi chako?, hajui, anabaki anantolea macho tu.
Kwa sababu wanawake wengi hawajui ndani ya maungo yao, labda wanaume wenzangu mmeshawahi ku experience kugusa kizazi cha mwanamke?
Twende kazi
 
Wenye kiungo husika wenyewe, yaani wanawake, hawajui kama hapa ninapoguswa ndiyo kizazi(yai).
Kila mwanamke ninayekuwa naye faragha nikimuuliza nakigusa kizazi chako?, hajui, anabaki anantolea macho tu.
Kwa sababu wanawake wengi hawajui ndani ya maungo yao, labda wanaume wenzangu mmeshawahi ku experience kugusa kizazi cha mwanamke.
Twende kazi

sasa unataka umguse ili iwaje!
 
Hebu fafanua kwanza

Kizazi ni nini

Yai ni nini

Au vyote unamaanisha ni kitu kimoja?
Ninacho target mimi, namaanisha kile kizazi kilicho ndani ya uke, au namaanisha kizazi kinachoguswa na uume wakati wa kujaamiana. Kiwe kizazi, au liwe yai, vyovyote vile ni sawa, ili mradi iwe kinachoguswa na uume wakati wa kujamiiana.
Zaidi tu, kama nimewakilisha maneno vibaya, unaweza kuweka sawa, halafu tuendelee.
 
nitakosea nikutaka kujua umri wako mkuu! yaan wewe unahis ukigusa kizaz ndo unamfikisha hahahahahhhah
 
Wenyewe wenye kiungo husika, yaani wanawake, hawajui kama hapa ninapoguswa ndiyo kizazi(yai).
Kila mwanamke ninayekuwa naye faragha nikimuuliza nakigusa kizazi chako?, hajui, anabaki anantolea macho tu.
Kwa sababu wanawake wengi hawajui ndani ya maungo yao, labda wanaume wenzangu mmeshawahi ku experience kugusa kizazi cha mwanamke.
Twende kazi
Kweli hii weekend ina mambo.... lakini imeniacha nikiwa nimefurahi sana na elimuvpia nimeipata vema.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nitakosea nikutaka kujua umri wako mkuu! yaan wewe unahis ukigusa kizaz ndo unamfikisha hahahahahhhah
nikijibiwa leo ntafurahi kweli. Halafu simaanishi ile g-spot ya kumfikisha. Namaanisha ile iliyo mbali ya g-spot, kizazi chenyewe ukimgusa anakuwa hasikii raha, anakuwa anasjisikia kawaida tu.
 
Ninacho target mimi, namaanisha kile kizazi kilicho ndani ya uke, au namaanisha kizazi kinachoguswa na uume wakati wa kujaamiana. Kiwe kizazi, au liwe yai, vyovyote vile ni sawa, ili mradi iwe kinachoguswa na uume wakati wa kujamiiana.
Zaidi tu, kama nimewakilisha maneno vibaya, unaweza kuweka sawa, halafu tuendelee.
Kwani kizazi ni nini na yai la mwanamke ni nini?

from Katesh using Siemens C55
 
Nimeshawahi sikia mara nyingi tu kwamba, wakati unajamiiana na mwanamke, unakuwa unagusa kizazi, yaani yai la mwanamke.
Utajuaje kama hiki nilichokigusa ndiyo kizazi cha mwanamke?
Asante.
Ukiwa unajamiiana unafika mahali ukiingiza sn dhakari unagota mahali, nae anackia maumivu sana..nawe unackia kbs umegusa gololi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom