Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Siku hizi kuna ongezeko la wanaume kuvaa pensi fupi

Unakuta msela ana guu la bia halafu laini hata kovu hana anavaa pensi ujue anaonekana kama shoga

Mwanaume rijali kama mimi mguu umekomaa na una nywele kibao ziwezi kuvaa pensi

Nyie masela mnaovaa pensi mbele ya kadamnasi na hiyo miguu yenu soft mnatuaibisha wanaume wenzenu mnakua kama mashoga bhana .
 
Labda kwao mboga saba we kwenu mboga moja
 
Kwahiyo huu wangu nao wa kishoga?? Duh
07d30a36046d4f464b3444d193454a50.jpg
 
Siku hizi kuna ongezeko la wanaume kuvaa pensi fupi

Unakuta msela ana guu la bia halafu laini hata kovu hana anavaa pensi ujue anaonekana kama shoga

Mwanaume rijali kama mimi mguu umekomaa na una nywele kibao ziwezi kuvaa pensi

Nyie masela mnaovaa pensi mbele ya kadamnasi na hiyo miguu yenu soft mnatuaibisha wanaume wenzenu mnakua kama mashoga bhana .
Vaa magome ya miti tu ndio utakuwa sio shoga lakini vinginevyo nawe utakuwa tu gasho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom