MAKRESH MMAKA
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 155
- 19
Mi napita
TAFSIRI
Mwanaume surual-mwanaume asie na kazi na anataka kuoa au kashaoa.
Mwanamke sketi-kaolewa au anataka kuolewa na hana kazi na hajishughulishi.
HAPO NI YUPI ANAKERA?MAANA SIKUIZI Mabachela tumekua tunaangalia vigezo vingi kweli,mfano una kasura kabaya au umbo kama jiwe la kwenye maji hapo ukiwa na chapaa UTAVUMILIWA.Kimbembe uwe na mvuto ila kwenye pochi ni Mvutoless hapo valentine Utakua unaiskia kwa majirani akina @mentor na @evelyn salt chezea pesa wewe! Tena sikuizi midume pia tunataka mke ambae anajielewa si kuvaa hereni tu! No apige kazi,Sio kitandani tu anajua mambo kama yupo ligi kuu ya England ila kwenye maisha ni zero.Hawa wanawake sketi ni hatari wanapenda taarabu kwelkwel,kakariri maves yote ya akina mzee yusuph ila akiambiwa embu tubuni mradi mzuri anatoa macho kama komba wa kule marangu mtoni,pia wanaume surual weng wao ni wazee wa offer na kujisifu anajua mambo,kumbe ata jambo la kuwa mbunifu katika maisha limemshinda.. Akiambiwa ukwel ndo bifu limeanza...
Haya sasa wewe upo wapi? @lara1 @rocky1 @nyani ngabu @tinna cute @asprin @sista na wengineo
Mi niko poa tu,me sio uyo bwna ha ha ha ha ha ha
Me ni mkulima wa magimbi , viazi, mihogo, ndizi na kahawa... sijui niko kundi gani hapo hebu nisaidie!!!!!!!!!!!!!
upendo unapita mambo yote!
we niambie...!
we kama sio konda basi ni dereva daladala!!
haahahaa!!