Neylu
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 2,938
- 1,842
HahahahaaaaaaWewe jifariji yeye anajuwa wewe ni salawili tu
HahahahaaaaaaWewe jifariji yeye anajuwa wewe ni salawili tu
Tulikuwa na kau bishi kidogo, kuhusu pesa nayompatia, anasema haitoshi nikamwambia unataka ngapi akanyamaza, hakunijibu, nikasema basi subiri zikiwa nyingi ntakupa, akanuna! akaendelea kunipiga vijembe akaliingizia na hilo.
Halafu mkuu tambiko wajua weye, mimi siyo salawili kwa sababu gani;,Wewe jifariji yeye anajuwa wewe ni salawili tu
Makaburi ya mababu zake, na kuchinja mbuzi kuelekea Kibla.na pombe mbege,
Hapo nimerahisisha comment tu, ili nieleweke kirahisi,lkn kwa lugha ya kanda yetu niHapo umechanganya chemicals
Kibla + mbege wapi na wapi?
Mtoto kufanana macho na kucha ni unaweza kukuta ni upepo wa kisulisuli ulimpitia.Nilimbana sana siku zile zote za hatari, yaani Dangerous days, sikucheza mbali halafu tulikwenda mkoani Iringa ambako hajulikani hata kwa dawa. baada ya zoezi hilo akarudi Dar.
na mtoto tuna fanana kucha macho, mwili,nk
Hapo nimerahisisha comment tu, ili nieleweke kirahisi,lkn kwa lugha ya kanda yetu ni
Mchi-tubhamotilahtilah!hila.
Unataka watu wasimame sio?sitaki mtu awahi seat hapa
wanakuwa wavivu mkuu, hasa kuna avatar flanifulani hivi, hizo ni maarufu kwa kuwahi seat.Unataka watu wasimame sio?
Naweza ua, nikapotelea jela, kimtu chenyewe hata mkononi hakijai. Hakimu atanidharau sana.Mshushie kipigo