Mwanaume suruali kwanini iwe hivyo una maana gani ewe mke wangu?

Tulikuwa na kau bishi kidogo, kuhusu pesa nayompatia, anasema haitoshi nikamwambia unataka ngapi akanyamaza, hakunijibu, nikasema basi subiri zikiwa nyingi ntakupa, akanuna! akaendelea kunipiga vijembe akaliingizia na hilo.

Wanawake wengi hawana uvumilivu hasa pale ambapo kipato kinakuwa hakitoshelezi. Ila Kama wanajua una kipato kikubwa kiasi Ila ww ni mtu wa mademu (kwamba ashawahi kukufuma hata na text za michepuko n.k n.k) huwa watahisi Huko Ndio unakopeleka hela na hivyo atakudharau kwa maneno mengi tu yakiwepo hayo.

Muhimu kaa nae mueleweshe kwa upendo kipato chako na pia mfanye ajue kwamba ww ni maminifu na kipato chako hakipotei popote pale nje ya matumizi yenu
 
Wewe jifariji yeye anajuwa wewe ni salawili tu
Halafu mkuu tambiko wajua weye, mimi siyo salawili kwa sababu gani;,

Matambiko yetu ya ki chief bana, ni babu kubwa hasa kama mtoto ni damu yangu, anaweza asifanikiwe kimaisha, akawa maskini, hata kama ana Elimu ya juu. mpaka azindikwe kunako Makaburi ya mababu zake, na kuchinja mbuzi kuelekea Kibla.na pombe mbege,

na kadri atapochelewa kufanya matambiko haya inaweza kumpelekea uchizi kabisaaa wa kula majalalani! huu utakuwa ni mzigo wa ***** tu!

Endapo atabaki salama bila kufanya tambiko hili, hapo ni wazi najua kweli siyo damu yangu, ni salawili.

hapo unasemaje?
 
Nilimbana sana siku zile zote za hatari, yaani Dangerous days, sikucheza mbali halafu tulikwenda mkoani Iringa ambako hajulikani hata kwa dawa. baada ya zoezi hilo akarudi Dar.
na mtoto tuna fanana kucha macho, mwili,nk
Mtoto kufanana macho na kucha ni unaweza kukuta ni upepo wa kisulisuli ulimpitia.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom