Mwanaume sura

Mwanaume sura

Mwanaume DUSHE INAYOFANYA KAZI sifa nyingine ni nyongeza ya kufanya yaendelee!
 
Mwanaume hata kama ungekuwa na pesa zilizojazwa kwenye toroli kama la chenge tena hb halafu hujui kugegeda aiseeeee!!!! kwangu huna nafasi.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mwanaume hata kama ungekuwa na pesa zilizojazwa kwenye toroli kama la chenge tena hb halafu hujui kugegeda aiseeeee!!!! kwangu huna nafasi.

Hahahahaa kula like ya nguvu dada angu. Nakuletea kinywaji pm. Umenifurahisha mnooo!
 
Mimi Ninachojua Uzuri Wa Mwanaume Ni ktk KUGEGEDA na KUWA na MTONYO Hivyo Vingine Ni Mbwembwe Tu Na Mademu Wanaojitambua Hata Ukikaa Nao Wanakuambia Kuwa Wao Wanatizama Kwanza MGEGEDO Wako Na Unavyojua KUGEGEDA Kisha Je Uko Financially Stable? Sura Kwao Ni Less Important.

Mkuu I do care about kugegeda (very much so in fact...lol!) lakini hata hivo vingine ni muhimu sana, especially the overall mouth healthcare, I doubt kama mgegedo utanoga vizuri wakati akili ya mtu inapaa kukwepa their partner's unkept health
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Bad breath a deal breaker huh?
 
Mwanaume hata kama ungekuwa na pesa zilizojazwa kwenye toroli kama la chenge tena hb halafu hujui kugegeda aiseeeee!!!! kwangu huna nafasi.

Hili nalo neeno!, lakini kuna mengine muhimu zaidi ya kugegeda, kitu kama intelijensia!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mwanaume pesa, mengine yote story.. Kamata mkwanja uone, kila mtoto utasikia "the guy z hot" utasema umekua makaa ya moto
 
  • Thanks
Reactions: kui
Huko America lakini kibongo hapa sura wanatuvumilia zaidi uwe na mkwanja....

So, ni bora liende hata kama hakuna chemistry or physical attraction?!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom