MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,466
- 14,887
Noma sana na ndo imeshakufa kifo cha mendeKumbe ile slogan ya mwanaume mashine haina maana tena...!!!
Jr
Kilichobaki ni kujitundika tu hakuna namnaAiseeeeeeee!!
Pesa huna
Hela huna
Mapenzi hujui
Afya mgogoro
Na ndo tushatukanwa tayari
Noma sana... na cha kustaajabisha na kushangaza,unaweza kuyafanya yote hayo na bado ukachapiwa kawa kama... hawa viumbe hawana fomula bro.wanatafuta pesa tu,wakipata mtu mwenye hela wanatulia hao mwanamke ni matunzo tu,gari kali,nyumba ya kuishi,na umpe mahitaji yake yote anayostahili pamoja na kumkunja sawa sawa,hapo umemaliza
Mbona hamna msimamo, pesa mkipewa, nyumba. GARI bado mnawapelekea bodaboda? Etiiiiii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huwa mnafurahi mnapoona sisi wanaume tunahangaika na January ?, maana ulivyoliza ni kama vile una enjoy tunavyopataga hard time kipindi hiko, jifunzeni kushare yale magumu tunayopitia sio kufurahia, unamwambia mtu wako I will be on your side all the time Dear.Hivi ile Njaanuary ishapita eee? Mana ilifanya kukawa shwaari kila kona.
mimi naamini ukichapiwa lazma kuna mistake utakuwa umeifanya pahala mkuu,lazma sio bureNoma sana... na cha kustaajabisha na kushangaza,unaweza kuyafanya yote hayo na bado ukachapiwa kawa kama... hawa viumbe hawana fomula bro.
Dah! Aisee! Umewaza point kubwa sana.Hivi ile Njaanuary ishapita eee? Mana ilifanya kukawa shwaari kila kona.
Hahaha! Unazeeka vibaya sister poleNa kweli Mdogo wangu. Naona mwezi wa kupendana huu.