Mwanaume siyo handsome, hana pesa, siyo mstaarabu lakini ana mpini mkubwa. So what?

wanatafuta pesa tu,wakipata mtu mwenye hela wanatulia hao mwanamke ni matunzo tu,gari kali,nyumba ya kuishi,na umpe mahitaji yake yote anayostahili pamoja na kumkunja sawa sawa,hapo umemaliza
Noma sana... na cha kustaajabisha na kushangaza,unaweza kuyafanya yote hayo na bado ukachapiwa kawa kama... hawa viumbe hawana fomula bro.
 
Wanaume tunashughulika na Njaa za Ubongo hatushughuliki na njaa nje ya ubong

Njaa za ubingo ni
1) Njaa
2) Kiu
3)Ngono
4)Usingizi.
Hakuna cha zaid hela ni mbwembwe tu,nashangaa mnakazanaaana kutafuta heka halaf ufurahishe nn kwa mfano???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ile Njaanuary ishapita eee? Mana ilifanya kukawa shwaari kila kona.
Hivi huwa mnafurahi mnapoona sisi wanaume tunahangaika na January ?, maana ulivyoliza ni kama vile una enjoy tunavyopataga hard time kipindi hiko, jifunzeni kushare yale magumu tunayopitia sio kufurahia, unamwambia mtu wako I will be on your side all the time Dear.
 
Back
Top Bottom