Mwanaume sio atm mashine cheki hapa!!!

Mwanaume sio atm mashine cheki hapa!!!

KAJICHO KIVULI

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
2,061
Reaction score
546
Unique-Amazing-Funny-images-indian-people-6-300x300.jpg

 
Halafu hawa inaonyesha walikuwa wanaandamana, hahahaha chezeya uchumi kuyumba.
 
Ilitakiwa wabadili kidogo kwani ndani ya ndoa ni wajibu ila kwa michepuko inafaa sana kwamba wanaume sio atm
 
Aaah mnatukamua sana, mkiambiwa kuchangia matumizi wakali, ila usiku unakaa beneti sogea basi baba kingwendu mbona upo mbali hauhisi kiwinta jamaani?

Swala la matumizi,sidhani kama ni la mume pekee,ni sote tunashiriki,mfano vyakula,ada za watoto,matumizi ya nyumvani kwa ujumla,na hata ujenzi,hayo ya kumtegemea mmoja ni maisha ya kizamani,sasa kama hamsaidiani hakuna haja ya mwanamke kwenda kazini,ila mnahangaika wote ili msaidiane majukumu
 
Mod tafadhali hii picha ya mtoto aliye uchi
hapo juu ni udhalilishaji
wa sisi wanaume
 
Ooyooo kuna nahau moja samaki mkunje mgali mbichi na kosa si la bibi ni ni la baba na baba ni lazima umsikileze bibi shida zake zote na ziwe za maana au za kiupuzi ni wajibu wako wa kumtimizia na siyo makofi na magumi maana sisi medume ndio tunaona ni dawa kumbe ni kumnya paa na kumnyanyasa mtoto wa watu na bila hawa madada sisi huwa na mawazo mgando mpaka tupate dawa yao ya kitumbua cha bila hamira na hapo nidipo usingezi huja murua na safi na sasa magumi na makofi ya nini
 
Swala la matumizi,sidhani kama ni la mume pekee,ni sote tunashiriki,mfano vyakula,ada za watoto,matumizi ya nyumvani kwa ujumla,na hata ujenzi,hayo ya kumtegemea mmoja ni maisha ya kizamani,sasa kama hamsaidiani hakuna haja ya mwanamke kwenda kazini,ila mnahangaika wote ili msaidiane majukumu

Kufuatana na maelezo yako kwa hiyo umekubaliana mwanaume sio ATM
 
atm zipo bank bana,mwanaume hawezi kua atm,ukiona mwanamke anamfanya mwanaume atm basi huyo mwanamke hajitambui
Tabu umekulia kijiji cha Mwamagunguli ya Shinyanga ndio maana huelewi misemo ya kimjini!! bora hata ungekua unatoka hata kisarawe ningekupa like
 
Back
Top Bottom