Mwanaume serious, Mume material

Mwanaume serious, Mume material

Hata mimi wanakera, wanatudharirisha sana wanawake. Ndo maana mtu wa namna hiyo akib**wa au akitupwa baada ya kuchezewa mi wala hainiumi
 
Mwanaume SIRIAZ akikusifia kwa kutembea Nyonyo nje,nyie mnaita Boobs,na MAkalio yakishika Nguo uliyovaa ukisema unaenda na wakati,huwa na nia moja tu,KUKUMEGA,KUKUCHAPA,na KUKUSHIKISHA ADABU KITANDANI,na Sifa zitaishia hapo.Hakuna Mwanaume SIRIAZ anayeweza kukubali kuoa MWanamke asiye SIRIAZ...Mwanamke anayeweza kuacha nje MALI ambazo ni FAHARI ya mmewe zionwe na kila Mwanaume.Nionyeshe Mwanamke mwenye tabia hiziza Hovyo aliyeolewa na Mwanaume Serious.Wanaume sio wajinga kama wanavyoonekana usoni...Mpaka akupe Pete yake lazima awe na uhakika Level ya Ujinga kwenye akili yako ni Ziro maana anaoa KIONGOZI WA FAMILIA nasio Muuza mwili.SHKAMOONI WOTE MNAO-BOOST NYONYO NA KUBANA KALIO,Kumegwa na kuachwa kwako ni GUARANTEE...Hatuoi Ujinga!


In this world nothing is certain than Tax and Death.

kuna players wanaoact serious sana na wanawapata wadada wengi.. hilo halina mjadala!

always a serious player is trusted.. because he dont joke!


by the way, kuoa ni ishu nyingine ambayo iko tofauti.. wapo wengi ambao wanajifanya kuwa serious lakini wanaangukia

kwa wanwake vicheche sana! na ukiwauliza kwanini? wanasema nimempenda tu.. love doesnt ask where, how, when, for whom and etc.

similar to women, wapo wanawake wastaarabu mno, lakini wamedondoka kwa wanaume machoko tu, kila siku ni mijeledi, matusi na aina nyingine nyiingi za kudhalilishana!

ndoa nyingi hasa za kiafrika ziko katika mfumo wa cross multiplication!
 
mmmmh kwan ww haujamsikia jamani au haupo ktk kundi hilo
 
Ni kweli kabisa. Ila thamani yao ni kubwa sana wanapovaa nguo za heshima zenye kufunika 'nyonyo' na 'kutobana makalio'.

Binafsi, nikimwona mwanamke aliyeacha sehemu kubwa ya mwili wake wazi 'huwa napatwa na wasiwasi kama yupo sawa kichwani'.

Hata wewe sidhani kama unaweza kuwa na mahisiano na mwanamke anayejiacha wazi halafu ukamtambulisha kwenu kama 'mchumba'. Ninauhakika utakuwa unamega huko mafichoni.

Kwa kuonyesha thaman yao inabidi wavae mavazi ya heshima....pia inabidi watambue kwamba heshima haijileti tu bali inaletwa so anayejiheshim pia ataheshimiwa
 
Mmmmh! Jf ni zaidi ya vituko show, unaweza umia mbavu hadi zikachanika na hujui
Ujumbe wako umefika mkuu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kinachouma sana ni kuona mtu kavaa nguo ya ajabu kabisa kanisani.... Yaani baadhi ya dada zetu ni zigo kabisa. Mind you, i love n respect you guys..
 
Akishayabana MAKALIO,kuonyesha NYONYO anakuwa na tiketi ya kujiita DIVA

bongo bhana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom