Mwanaume rijali ni yupi?

Mninuukuu mwanaume kamili ni ka ifuatavyo.
1.Kwenye mapenzi yumo
2.kwenye matunzo yumo anatunza si mchungu ukimwona mtu mchungu ni anatunza kwingine huku wewe ni kipoza roho tu.
3.Na akiwa mchunguu kwa kila mtu huyo mi mwanaume suruali.
4.Ni mwanaume rijali ni yule anayejali mtu
Kwa njia zote.
 
Unaweza ukapigaashine kisawasawa halafu baadae huna hata kumi kula mchana.
 
Rejea kwenye kamusi ya TUKI, tafuta maana ya rijali, hayo uliyoyaandika hayapo!!
 
Mwanaume rijali ni yule ambaye uume wake unasimama barabara na una uwezo wa kumfikisha mwanamke kilele na kujaza mimba. Mengine ni mbwembwe tu, tusichanganye mwananaume bora na mwanaume rijali.

Hivyo basi mwanaume anaweza kuwa:
1. Rijali lakini sio bora
2. Bora lakini sio rijali
3. Sio rijali wala sio bora
4. Rijali na bora.
 
Sijakataa hivyo bali kwa maisha ya leo mwanaume rijali ni anaweza anafamilia na bado anahawara ila mzunguko wote huo anawatunza wake zake anajitambua pia.
 
Mtoa mada kasome kamusi sanifu ya kiswahili then uje edit Uzi wako kuweka mambo sawa hivi omi sigala hana acc humu tusaidie tafsr ya mwanaume lijali
 
HAYO SIASA LA MWISHO UWEZE KUMHUDUMIA MKE WAKO AKARIDHIKA AKASHIKA MIMBA AKAZAA
 
DUH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…