Mwanaume rijali ni yupi?

Mleta mada naona kama kaniongelea mimi vile
 
Mwanaume rijali ni yule a nae hakikisha family haikos maitaji muhimu hasa njia ya chooni isiote nyasi, hayo ya kusimamia kishimo joto ni ziada na kuzalisha ni kudra za mola c urijali abadan
 
Kuwa na mademu wengi siyo kipimo cha urijali, kama we rijali wa kweli home wapate ugari
By Nikki wa Pili.

Neno Rijali lina maana nyingi sana.
 
Sifa za mwanaume rijali.

1. Kuwa msafi 24 hours

2. Hupenda kutreat wanawake kimapenzi vyema.

3. Kuvaa hereni, kutoboa pua, kuvaa cheni kifuani , mguuni

4. Hanywi pombe ila anavuta cigar

5. Awe na pesa ya kutosha na utajiri halali.

6. Akiwa kwenye " social media " I'd zake huwa za kike, mfano I'd yangu hapo....


[emoji87] [emoji15]
 
Duuh
 
Mtoa mada yu min bashite is rijali.ooo shit .yule dem wake cjui ata le kokobanga kamshindwa?
 
Mwanaume rijal ni yule alie na familia then akawa na michepuko miwili na mkewe anajua ila anatuliza mkew kila akiuliza about michepuko
 
Bado hamjafungua shule totoooo!!!
 
Mtoa mada nadhani umeanduka ukiwa na stress. Sasa urijali na hayo maendelo wapi na wapi? Urijali uwezo wa kujamiiana na kuzalisha. Mtu aweza fanya yote uliyoonyeshapo juu hata kama hana mtoto yaani hawezi kuzaa na wala hana mke anaweza kujali ndg zake akaoambana na maisha kwa nidhamu kuu.

Msituchoshe kuandika vitu msivyovijua
 
Rijali ni kwenye maumbile na swala zima la kudindisha ww umeongelea mwanaume mwenye msimamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…