Mr Miller JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 11,449 Reaction score 25,831 Oct 14, 2018 #41 Losser Bad said: Mwanaume kutoboa macho ili uwe kipofu huo ni Umama,mwanaume unakata kichwa kabisa unatembea na kiwiliwili tu. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]
Losser Bad said: Mwanaume kutoboa macho ili uwe kipofu huo ni Umama,mwanaume unakata kichwa kabisa unatembea na kiwiliwili tu. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]
tremendous JF-Expert Member Joined Aug 12, 2016 Posts 3,237 Reaction score 5,325 Oct 14, 2018 #42 Nimemsikia mwingine akisema huko mwanaume kunya mavi laini ni usista duu mwanaume kunya mavi magumu hadi mk..du utoe damu kuonyesha ungangari.
Nimemsikia mwingine akisema huko mwanaume kunya mavi laini ni usista duu mwanaume kunya mavi magumu hadi mk..du utoe damu kuonyesha ungangari.
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,684 Reaction score 45,613 Oct 14, 2018 #43 Mwanaume kuoga maji yalowekwa hiriki na abdalasini ni UMAMA mwanaume unaoga maji yenye upupu na kuyachambia kabisa,..
Mwanaume kuoga maji yalowekwa hiriki na abdalasini ni UMAMA mwanaume unaoga maji yenye upupu na kuyachambia kabisa,..
NYEKUNDU YA BIBI JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 2,307 Reaction score 3,017 Oct 14, 2018 #44 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kucheka pia umama
Ambiele Kiviele JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 15,271 Reaction score 29,937 Oct 14, 2018 #45 Huo ni umama
2018 JF-Expert Member Joined Jan 1, 2018 Posts 547 Reaction score 795 Oct 14, 2018 #46 Wick said: Hata kumjibu mwenzio huo ni UMAMA mwanaume wa kwel anamfata Mod na kumwambia afute uzi, ampige ban jamaaa! Click to expand... Kumfuata Mod ni umama,mwanaume anafuta mwenyewe
Wick said: Hata kumjibu mwenzio huo ni UMAMA mwanaume wa kwel anamfata Mod na kumwambia afute uzi, ampige ban jamaaa! Click to expand... Kumfuata Mod ni umama,mwanaume anafuta mwenyewe
Aishah2016 JF-Expert Member Joined Jun 11, 2016 Posts 2,225 Reaction score 2,482 Oct 14, 2018 #47 Mwanaume kuny* na kujitawaza ni umama,, mwanaume kamili anabaki ivovoo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mwanaume kuny* na kujitawaza ni umama,, mwanaume kamili anabaki ivovoo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,227 Reaction score 40,718 Oct 14, 2018 #48 Kujadili thread kama hii ni ujinga wa PHD
Mama Sabrina JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16,618 Reaction score 27,599 Oct 14, 2018 #49 toxic9 said: Mwanaume kulialia eti demu wako kavaa nguo zako na amezitanua ni u_big mama Click to expand... Mwanaume ni kuzichukua nguo zote unampa demu wako unanunua mpya
toxic9 said: Mwanaume kulialia eti demu wako kavaa nguo zako na amezitanua ni u_big mama Click to expand... Mwanaume ni kuzichukua nguo zote unampa demu wako unanunua mpya
Mama Sabrina JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16,618 Reaction score 27,599 Oct 14, 2018 #50 Hilo neno jamanii