King'ast na the boss wema anaonekana malaya kwa sababu ya umaarufu wake, wanaume wote anaotembea nao ni maarufu pia na kila akiwa na mpenzi lazima magazeti yaandike. Tujiulize kuna wadada wangapi wa umri wa wema wanabadilisha wanaume? tena kuzidi hata hao wa wema na wengine wameolewa tena ndoa za nguvu lakini bado wanapandishwa juu ya meza maofisini, ila hawasemwi kwani jamii haijui.
Kwa mtazamo wangu wema anaonekana malaya kwa sababu ya umaarufu wake na hivyo vibwana vyake ni maarufu pia. Lakini kuna watu tena wake za watu ungekua unamsoma mtu usoni alishatembea na wanaume wangapi utaona wema ni cha mtoto.
Mi ugonjwa wangu ni huo huo tu wa furushi la nyuma mambo ya tabia sijui mweupe sijui mweusi i don't care
Hahahaha lol, ngoja nikamuone mchina ili niwahi bahati hapa
I married the one I love. Am happy. Am the happiest! Love leads the way......... I do what love tells me.
Onyo: Usioe ili ufurahishe watu!
Hahahaha lol, ngoja nikamuone mchina ili niwahi bahati hapa
Mweeeeeee!Mi naangalia wowowo tu awe na heshima mbovu, mvuta bange mimi sijali
Hahahaha lol, ngoja nikamuone mchina ili niwahi bahati hapa
"anayeonekana malaya" Haonekani hivyo tu, ila kuna visababishi vinavyosababisha aonekane hivyo! Na kwa kuwa tabia hiyo (umalaya) ni moja wapo ya tabia ambazo ni anti-social; yaani tabia zinazoleta migawanyiko na migogoro katika jamii si uamzi wa KIUME kumuoa. Hata kama utamuoa huyo kwa kisingizio cha kumpenda, hapo mbeleni utakuja kugundua kuwa jamii haikuwa IMEKOSEA. Na hapo ndo itakuwa imeshakula kwako kwani ku-reverse ndoa ni ngumu na gharama zake ni kubwa sana!!
Jamii ina mifano mingi sana ya kushuhudia kuwa ndoa nyingi za namna hii huishia kubaya na hicho kinachoitwa mvuto na kumpenda hapo mwanzoni hakifui dafu kwa vitabia vya ki-"antisocial". Ndoa zote zinazosambaratika mwanzoni watu walisema tunapendana sana; wakadharau viashiria vya wazi. Mojawapo ya viashiria kuwa huyo hakufai ni hiyo ya "kuonekana malaya". Miaka mitano ndani ya ndoa ndo utajua kuwa "kuonekana malaya" ni kitu kibaya na hapo itakuwa umeshachelewa!!
...the boss, kwakuwa "labda anaonekana" ndilo neno lililotumika, nakubaliana na wengine kwamba huyu ndiye
mwenye maamuzi aka mwanaume mwenye maamuzi thabiti.
lakini, angekuwa ameoa mwanamke malaya...anayejulikana naye anamjua...---***** huyo!
Mi nafikiri kwamba ndio maana kunakua na mke na hawara mke ni wa kuwa ndani na anakulindia heshima ila hawara ndio mambo ya
kuupa nafasi moyo na hii huwa ya muda mfupi tu kwani changu ni changu tu.huwezi kumbadilisha hata kidogo.
Boss hio in Blue... most men look for that... But not in a wife. Wanaume wana kasumba kua aoe mke ambae atakua a good wife and a good mom pia and good house keeper as a complimentary akijua kabisa hata kama the above blue haitapatikana hapo hamna kitakachomkwamisha kupata... Why do you think mara nyingi guys hutoka na really hot gals but when you hear anaoa... anaenda kuoa binti mpole na mtaratibu ambae outing kwake ni at minimal... Why do you think guys hukimbilia kuoa proffession ya walimu?? IMO it is because most walimu ni mara chache huwa wale wake mcharuko... among other things....
Maamuzi yote mawili si ya kiume. Mwanaume atasubiri for the right candidate na si kuoa malaya au mtu
asompenda.
King'ast na the boss wema anaonekana malaya kwa sababu ya umaarufu wake, wanaume wote anaotembea nao ni maarufu pia na kila akiwa na mpenzi lazima magazeti yaandike. Tujiulize kuna wadada wangapi wa umri wa wema wanabadilisha wanaume? tena kuzidi hata hao wa wema na wengine wameolewa tena ndoa za nguvu lakini bado wanapandishwa juu ya meza maofisini, ila hawasemwi kwani jamii haijui.
Kwa mtazamo wangu wema anaonekana malaya kwa sababu ya umaarufu wake na hivyo vibwana vyake ni maarufu pia. Lakini kuna watu tena wake za watu ungekua unamsoma mtu usoni alishatembea na wanaume wangapi utaona wema ni cha mtoto.
The Boss and Crew
Mi naamini "umalaya" au 'tabia nzuri' ya mtu ni something 'socially constructed'
Kwa hiyo kimsingi kigezo cha kwanza cha kumuoa mtu ni kumpenda. baaas.
Sasa suala la kwamba hayo ni maamuzi ya 'kiume' au la....hilo linatupeleka kwenye debate ya feminism tena na hukawii kuwa accused wa gender discrimination lol
Mapenzi Sio Siasa (Husninyo)
Let love lead the way (kama hiyo ndo itakudefine kuwa mwanaume basi ndo ivo ivo ila mi ningesema uamuzi wa busara...)
Boss naomba nianze kwanza kwa usemi wa kipenda roho hula nyama mbichi
Pili niseme muoaji ni wewe sio ile jamii inayokuzunguka japo nae atakuwa part ya jamii ila wewe ndie utakayakuwa part ya maisha ya muolewaji kwa maisha yake yote.
Kuna vitu ambavyo umeviona kwa huyo dada regardless ya hayo maneno owanayomsema kuwa sio class yako au ni malaya au haendani na wewe
Ila mapenzi hayajali hayo ila unachoangalia je huyo mama pamoja na madhaifu wanayomsema nayo kuwa sio class yako au ni malaya, je ni mwanamke wa kukufaa wewe. Je anatutimiza vigezo vyako ambavyo wewe umejiwekea. JE atakuwa mke mwema maana unachotafuta wewe ni mke wa kukaa nae ndani ya nyumba yako na ambaye atakuzalia watoto awalee watoto wako katika njia ipasayo. Mwanamke atakayetulia na wewe kama mumewe. Kama amekukuta uko kwenye hiyo class ya juu aendane na wewe na abadilike kulingana na mazingira na wakati. Jamii iko pale sio kukusaidia kukaa na mkeo bali kuangalia mapungufu ya mkeo na kuyasema wala hawatakusaidia kwa namna nyingine kumjenga mkeo au kumbadilisha.
Unaweza kuamua kumuoa huyo ambaye wanasema ni wa class yako au sio malaya au anayeendana na wewe ukajikuta umepata matatizo ambayo hukutarajia
Halafu je hebu jiulize huyo dada aliingia kwenye umalaya kwa sababu gani. Nini kilimfanya awe hivyo. Au je hajafikia hiyo class yako kwa sababu gani.
Uamuzi wa kiume nafikiri ni kufanya kile ambacho kunakiamini na kukisimamia bila kujali jamii inasemaje au inakuchukuliaje. Kusimamia jambo unaloliamini licha ya kwamba kuna vipingamizi vingi
kweli mapenzi sio siasa
but huwezi amini...wanaume tulio wengi tunajali zaidi
'heshima' kuliko kufuata mioyo ndo maana kuna vimada weengi mno...
mke ni heshima,kipenda roho kinakuwa kiko pembeni....lol
heshima ni kila kitu a inaanzia ndani sasa kama mke hajiheshimu je unategemea na wewe unaweza kumheshimu na je jamii inayowazunguka inaweza kuwaheshimu????
japo wanasema ukipenda unaweza hata kudiriki chongo kuita kengeza