Aweki password kwenye simu yake, yupo huru kumwambia mke wake. Mke wangu mzuri pokea simu hiyo.
Stuka! Ana handset ingine kaacha ofisini!! Either that ama keshawatonya mda gani wasipige.
Anafurahia kuwa na muda na mke wake na kupanga maendeleo............ Wa hivi ameshazaliwa kweli?
Ampigi mke wake, anamfanyia massages na kumjali mke wake Mh!! Only when she is pregnant. *****.
Anajua majukumu yake......Kujua its one thing. Kutekeleza another
Anatambua mchango wa mke wake wa kazi yeah but how does he show this
Anamwambia mke wake jinsi gani alivyo mzuri does he mean it? Ama anasema ili apewe ka mkopo keshamaliza hela kwenye kilaji
Wacha weee kwahiyo huyu nilienae si mwanaume!!!
...ooooh my....ooooh my....!! kwa nini nimesoma hapa!!!The good men are resting in peace as I write this. Six feet under.
..ati nini?? jamani..."Chocolate Penis That Ejaculates Money"
LOL!!!
..ati nini?? jamani...
Aaah wapi kuwa mwanaume ni zaidi ya hayoJiulize
Aweki password kwenye simu yake, yupo huru kumwambia mke wake. Mke wangu mzuri pokea simu hiyo.
Anafurahia kuwa na muda na mke wake na kupanga maendeleo
Ampigi mke wake, anamfanyia massages na kumjali mke wake
Anajua majukumu yake
Anatambua mchango wa mke wake wa kazi
Anamwambia mke wake jinsi gani alivyo mzuri
Hahaha! Kongosho na Evelyn Salt mmenifurahisha! Basi paw ni bonge ya kidume manake kasoro hizi hana. Ila namtaftia adoption. snowhite unataka mume?
Wakiume
Hivi kama hawa wapo kweliiii???
Ni yule ambaye wakati mke/demu wake akiwa kwenye kioo yeye anapiga simu kutafuta dili.
...ooooh my....ooooh my....!! kwa nini nimesoma hapa!!!