Mwanaume ni yule ambaye


While I totally agree with you that these are some of the best practices of a husband, I strongly oppose the use of "manhood" in a totally unrelated topic just to psychologically manipulate men into agreeing/following whatever you are preaching be it good or not
 
:A S 114:

Mwanaume "MAJUKUMU" bana (you know what I say)....

hayo mengine yote (sijui simu bila password and the like) ni kachumbari tu....haishibishi
 
Tatizo lipo hapa

No women will ever be truely satisified-----
Becouse no man will even have a chocolate penis that ejaculates money.

Kwa hiyo kumtreat mwanamke like this, itatokeaje?????

Dah mkuu umetisha sna yan nakuunga mkono asilimia mia hawa wanaake bhana dah yan wao hapo bila kutaja 10 inch kama ya mandingo pia alaf uwe zaidi ya binadamu
 
Hapo kwenye simu unajitia presha bure,kila mtu na yake acha kuchokonoa,simu ni kama dampo ukilichokonoa ukubaliane na harufu na uchafu utakaokumbana nao
 

Kweli teknolojia imetubadilisha. Ati saivi kuweka au kutokuweka password kwe.ye simu ni kigezo! Kiruuuuu😱
 
Mwanamme wa kweli akisoma hapa lazima arespond negative, makosa kama hayo ndiyo ambayo yanawagharimu wanaume wengi mpaka leo hii, dont try at home!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…