We sio mwanaume lol....Gusa kila kitu changu lakini sio simu yangu.
Hahaha! Kongosho na Evelyn Salt mmenifurahisha! Basi paw ni bonge ya kidume manake kasoro hizi hana. Ila namtaftia adoption. snowhite unataka mume?
Gusa kila kitu changu lakini sio simu yangu.
Mmmh kobun unantisha...ukimpa ashike utayeyuka?
Aweki password kwenye simu yake, yupo huru kumwambia mke wake. Mke wangu mzuri pokea simu hiyo.
Anafurahia kuwa na muda na mke wake na kupanga maendeleo
Ampigi mke wake, anamfanyia massages na kumjali mke wake
Anajua majukumu yake
Anatambua mchango wa mke wake wa kazi
Anamwambia mke wake jinsi gani alivyo mzuri
Ili uwe mwanaume kwanza unahitaji kikojoleo cha kiume bana
Hebu uwe na kile kingine na ufanye hayo uone kama utaitwa mwanaume
Wako wanawake ambao wanaishi na wanawake wenzao na wanawafanyia hayo na kamwe hawajaitwa wanaume
Asprin hebu njoo umuambie huyu dogo!
Asante kwamtoro ila haki na wajibu viende pamoja
Aweki password kwenye simu yake, yupo huru kumwambia mke wake. Mke wangu mzuri pokea simu hiyo....
Mwanamke pia ajiamini asiwe pekuzipekuzi wa simu maana unapotafuta makosa utayaona tu...
Anafurahia kuwa na muda na mke wake na kupanga maendeleo
Na mwanamke pia awe chapakazi na mpenda maendeleo si kila siku kudai pesa ya saloon, nguo na michango ya shughuli
Ampigi mke wake, anamfanyia massages na kumjali mke wake
Mwanamke mwenye kidomodomo kichafu na maneno ya shombo kwa mume pasipo sababu lazima apigwe hahaa, wanaume hawapendi makelele
Anajua majukumu yake
Mwanamke pia ajue majukumu yake na kuyatimiza
Anatambua mchango wa mke wake wa kazi
Mwanamke atambue mchango wa mume wake, awe msaidizi pia katika kutimiza majukumu
Anamwambia mke wake jinsi gani alivyo mzuri
Mwanamke amwambie mume wake alivyo mume bora, muwajibika na kiongozi bora wa familia -kama ni baba bora kweli hahaa!
Aweki password kwenye simu yake, yupo huru kumwambia mke wake. Mke wangu mzuri pokea simu hiyo.
Anafurahia kuwa na muda na mke wake na kupanga maendeleo
Ampigi mke wake, anamfanyia massages na kumjali mke wake
Anajua majukumu yake
Anatambua mchango wa mke wake wa kazi
Anamwambia mke wake jinsi gani alivyo mzuri
Nakuunga mguu mkuu but umesahau kitu inaitwa PESA coz bila hyo hata iyo massage unaona kama anakuparua tu