Mwanaume ni shujaa

Sio wanawake wa kizazi hiki, jana nimeenda kumuona mama fulani yaaan kwake kuchafu balaa eti anangoja housegal aje kufanya usafi..
 
  • Papa na sheikh ni nature? Hao ni viongozi tu wa dini. Hamna dini iliyotoka kwa Mungu, zote ni man made ili dunia itawalike kirahisi.
  • Matajiri wanawake wako wengi tu mbona?
1. Francoise Bettencourt Meyers: $74.8 billion. ...
#2. Alice Walton: $65.3 billion. ...
#3. Julia Koch: $60 billion. ...
#4. Mackenzie Scott: $43.6 billion. ...
#5. Jacqueline Mars: $31.7 billion. ...
#6. Gina Reinhart: $30.2 billion. ...
#7. Miriam Adelson: $27.5 billion. ...
#8. Susanne Klatten: $24.3 billion

Pia marais wanawake wapo kibao tu.
Mimi sio single mother ila nawaheshimu sana maana wana perform duties zilizo washinda wanaume kibao.
 
Angalia ratio ya men to women hao koch na mackenzie wamepata pesa za urithi koch wanatengeneza chocolate worldwide kenzi ni za beff jezos najua unajua hilo walton pia ni za familia sio selfmade ila si bishani na feminist kaa na unachoamini
 
I am not a feminist. Ila najiepusha sana na vibushuti. The Eskimos
Angalia ratio ya men to women hao koch na mackenzie wamepata pesa za urithi koch wanatengeneza chocolate worldwide kenzi ni za beff jezos najua unajua hilo walton pia ni za familia sio selfmade ila si bishani na feminist kaa na unachoamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…