Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,444
- 62,823
Mwanaume ni lulu katika hii dunia....
Mwanaume wa kuanzia miaka 30+ amekuwa akihitajika sana na wadada/wanawake ili waweze kufunga pingu za maisha. Na kama yuko smart, kiuchumi, kielimu, kujipenda n.k ana uwezo mkubwa wa kuwa na wapenzi wa aina mbali mbali na kila mmoja akitamani aolewe.Na wengi wenye rika hili waliojipanga vizuri kiuchumi,kiafya n.k wadada hujitongozesha kwao. Utakuta anafuatwa na wadada wenye umri tofauti tofauti, kuanzia miaka 18 - 50. Wanaume oyeeeee....
ha ha ha nilikuwa sijaelewa
Wajaribu kuboresha baadhi ya 'status' zao, mabadiliko watayaonaSasakama ni lulu, mbona hawana bei? Maana mimi naona wanawake ndo wanabei na wanaume wanawaonga.
Wapo wenye bei mkuu,hujawahi kuona mwanamke anajipeleka sehemu ya hotelini n.k ili kumuwinda mwanaume fulani?
ha ha ha ukisimamia nafasi yako ya kiuanaume,mchakarikaji na ukawa na focus; watakuwinda tu hasa wadada wa 26+Doh...i wish them.the best.Sie wengine acha tupambane kwanza tuone kama kwel tutawavutia.
Ahahahhaha
Poa mkuu ngoja niongeze juhud maana mtanange mgumu mpaka dakika ya 80 hii naona Bila bila .sijaona hata moja kwa mbaliha ha ha ukisimamia nafasi yako ya kiuanaume,mchakarikaji na ukawa na focus; watakuwinda tu hasa wadada wa 26+
ha ha ha ha si kila mmoja anafaa kutafunwa mkuu
Wapo wenye bei mkuu,hujawahi kuona mwanamke anajipeleka sehemu ya hotelini n.k ili kumuwinda mwanaume fulani?
ha ha ha wapo mkuu,hujawahi kusikia mtu fulani anasema anataka labda aolewe na rubani;unafikiri atatumia njia gani kumpata huyo muhusika. Ulimwengu una mengi mkuuSijawahi kuona mwanamke akijipeleka mkuu, itakuwa nimepitwa na wakati sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume ni lulu katika hii dunia....
Mwanaume wa kuanzia miaka 30+ amekuwa akihitajika sana na wadada/wanawake ili waweze kufunga pingu za maisha. Na kama yuko smart, kiuchumi, kielimu, kujipenda n.k ana uwezo mkubwa wa kuwa na wapenzi wa aina mbali mbali na kila mmoja akitamani aolewe naye.Na wengi wenye rika hili waliojipanga vizuri kiuchumi,kiafya n.k wadada hujitongozesha kwao. Utakuta anafuatwa na wadada wenye umri tofauti tofauti, kuanzia miaka 18 - 50. Wanaume oyeeeee....
Mwanaume ni kichwa cha familia mkuuMbona sijaona mwanaume anavyokuwa lulu sasa ? Au ndo mambo ya Kanumba ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio LuLu tena ? Mbona unanichanganya ?Mwanaume ni kichwa cha familia mkuu
ha ha ha wapo mkuu,hujawahi kusikia mtu fulani anasema anataka labda aolewe na rubani;unafikiri atatumia njia gani kumpata huyo muhusika. Ulimwengu una mengi mkuu