sasa nielewe vizuri:wanaume wengi niwana mioyo mepesi sana ,wengi hawapendi kero na matatizo ya hapa na pale.ugomvi ,kusemwa kutukanwa ,kuudhiwa na kero nyingi tu zitokanazo na wakezo wanawake wengi wakiudhika huishia kulia kwa sauti na makelele mengi then mzigo moyoni umeisha yasio na msingi mwanaumre rijali aleyefunzwa hali ikabisa anaishia kuugulia ndani kwandani wakati moyo wake ukiwa unadondosha matone ya damu siku hadi siku,hii ni presha anaitengenesha ,msongo wa mawazo yaani kwanini huyu mwanamke anifanyie hivi,shinikizo la damu na magonjw mengi yanayochangiwa na hili,na ndio sababu kwenye misiba utasikia mwache alie fundo limtoke !!hilifundo kwa wanawake linatoka kwa mwanaume anayeudhiwa never yanajikusanya humo na mwisho anapata maradhi anaiaga dunia.yaan leo umenambia kitu alichoniambia my dad miaka 12 hivi iliyopita...hapo kwenye bold/blue hapo...
he said, ina maana mungu ana upendeleo na kuchukua wababa tu na kuacha kina mama?sikuelewa coz by that time i was too young for that...
iyo laptop ina zaidi ya uo mkoba kuna kitu ambacho alikuwa anakificha so ana waswas unaweza kujua ndo maana kawa mbogo jaribu kumfanyia uchunguzi wa hali ya juu c mke wko utajua tu. There is sm thng going on.
Sisi wanawake ni selfish sana sana ,mfano rahisi utakuta wote mnafanya kazi ila hela itakayotumika ni ya mume tuuu kwa kila kitu home ya kwako niyakuvaa tu soooo selfish .huyo dada ana jambo la ziada lakukuambia juu ya kauli yake .mimilait ningezaliwa mwanaume nsingeruhusu kuchezewa namna hiyo muna thamani kubwa sie viumbe dhaifu na wadogo sana kwenu.mwite kwa sauti mwambie kaa pale explain kila neno ulilolitoa siku ile alaaah unammezea mate ya nini hataki mwambie akapumzike kwao.na at last usipumbazike kingono akiri hayo maneno yake .mwanaume bila udicteta haya matoto ya kike hayaendi,,ni bora kufuga mabata 10 kuliko mwanamke 1.huwa namwambia mume wangu mwanaume lazima uongee kwa sauti ijulikane nibaba ameongea la sivyo hata watoto watakupanda kichwani!!we bana bana pua atakuaibihs hivohivo mbele za watu.
hapo ni sawa nakukiogopa kivuli chako sasa:haya yote ni kwamwanaume wanaoziheshimu ndoa zao ,sio wasaliti wagomvi wenye kuleta mitafarakan kwenye familia ,ila kama ndio unamtesa mkeo nikikuta hueshimiwi mi sioni ajabu wewe kudharauliwa .so that if you havent any dought to your family and wife man should play his pary as A FATHER na kama mumeUmenena kweli!..
Mmmh,lakini kuna wanawake wanapanda kichwani mwanaume inabidi utafute njia ya kujiepusha ukileta udikteta utaozea
keko.
hapa changanya na za kwako mtoa madaHuyo mwanamke hana adabu mpige chini
we mtt wa kike umeongea point hadi rahaSisi wanawake ni selfish sana sana ,mfano rahisi utakuta wote mnafanya kazi ila hela itakayotumika ni ya mume tuuu kwa kila kitu home ya kwako niyakuvaa tu soooo selfish .huyo dada ana jambo la ziada lakukuambia juu ya kauli yake .mimilait ningezaliwa mwanaume nsingeruhusu kuchezewa namna hiyo muna thamani kubwa sie viumbe dhaifu na wadogo sana kwenu.mwite kwa sauti mwambie kaa pale explain kila neno ulilolitoa siku ile alaaah unammezea mate ya nini hataki mwambie akapumzike kwao.na at last usipumbazike kingono akiri hayo maneno yake .mwanaume bila udicteta haya matoto ya kike hayaendi,,ni bora kufuga mabata 10 kuliko mwanamke 1.huwa namwambia mume wangu mwanaume lazima uongee kwa sauti ijulikane nibaba ameongea la sivyo hata watoto watakupanda kichwani!!we bana bana pua atakuaibihs hivohivo mbele za watu.