Fanya ulime ndugu yangu uhifadhi chakula, awamu hii siyo ya kukesha online ili uje kulilia chakula kwa raisi.wanaume wa dar mna taabu sana!!
Huko dar hakuna tofauti ya mwanamke na mwanaume
Nendeni kwenye jukwaa la kilimo aisee. Nchi ina uhitaji na koroshoaisee nimeon aibu at kuchangany coment yangu na wanaume wa dar ngoja tuwapishe wahukumiane wenyew
[emoji23] dar mnaangalia shilawadu na ku betNendeni kwenye jukwaa la kilimo aisee. Nchi ina uhitaji na korosho
Acha usenge wako [emoji34][emoji34][emoji34]Huko dar hakuna tofauti ya mwanamke na mwanaume
Wako umeacha ?Acha usenge wako [emoji34][emoji34][emoji34]
Huu ni umama na wewe kudharau binadam wenzako unauhakika gani kama huyo niwa dar au hata kama niwa dar unataka kuhukumu watu wote milion 6 kwa upuuzi wa mtu 1!!??[emoji34][emoji34][emoji34]wanaume wa dar mna taabu sana!!
[emoji23][emoji23][emoji23] nafikiri ingetokea mkoani hii ungeshusha dongo!!Kila mtu na utaratibu wake wa maisha kuna wanawake ni lazima waweke maji ya kuoga bafuni pale mumewe anapotaka kuoga
Unatoa wapi akili za kukwepa kwenda shamba ili utumie hotspot ya kijiji ili upost hizi pumba?[emoji23] dar mnaangalia shilawadu na ku bet
[emoji23][emoji23][emoji23] nafikiri ingetokea mkoani hii ungeshusha dongo!!
Kwasababu imetokea Darisalama unapita kwa kukimbia
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaume wa mikoani hamuogi ndio maana hatuwezi kusikia haya mambo
******** walai nmkuwa lini na usenge mm [emoji34][emoji34]Wako umeacha ?