Mwanaume mwezini.

mayenga

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2009
Posts
4,118
Reaction score
1,975
Nilikuwa msomaji na mpenzi mkubwa wa gazeti la Jitambue ambalo kwa muda mrefu sasa halipatikani mtaani.

Katika gazeti hilo mambo mengi kuhusu saikolojia yalizungumzwa na kutolewa ufafanuzi.Moja ya jambo ambalo liliwahi kuniacha hoi katika moja ya makala ya gazeti hilo,ni ile iliyokuwa inazungumzia kuhusu wanaume kuingia kwenye mzunguko wa hedhi kama walivyo wanawake.

Gazeti hilo lilitaja baadhi ya dalili za kumgundua mwanaume kuwa yuko katika siku zake ni pale anapokuwa na hasira kupita kiasi au anaonekana kubadilika kabisa tofauti na tabia yake halisi.

Wenzangu imekaaje hii?!
 
hasira tu?vipi kuhusu kudischarge??
 


Spams? Kwa kweli JF imeingiliwa!
 
:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:
 
Imekaa vibaya
 
kwa namna zote, hakuna kitu kama hicho........nafikiri ndio maana gazeti hilo halitoki tena kama story zenyewe ndio kama hizo.
 
ile JITAMBUE ilikuwa gazeti ya mtu mmoja aliyekuwa anaandika mawazo yake tu yasiyo na ushahidi wowote. Kwa kifupi jamaa alikuwa na kitu kama delusional thinking, anatunga mambo yake halafu anayajaza gazetini.
 
Gazeti lile lilikuwa linamilikiwa na Munga Tehnan (RIP) baada ya kufariki ndio maana halionekani tena.....mi nadhani kuna ukweli......teh teh teh
 
:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:
 
:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:

hivi kuwa mwezini ina maanisha nini? ......kwanza tuelewe hiyo
 
Gazeti lile lilikuwa linamilikiwa na Munga Tehnan (RIP) baada ya kufariki ndio maana halionekani tena.....mi nadhani kuna ukweli......teh teh teh

ni kweli preta sasahivi ni marehemu ukweli alikuwa mkali kwenye saikolojia nampa saluti kama kuna nayeweza kutupa copy zake atafanya la mana sana
 
ni kweli preta sasahivi ni marehemu ukweli alikuwa mkali kwenye saikolojia nampa saluti kama kuna nayeweza kutupa copy zake atafanya la mana sana

jamaa alikuwa mkali balaa...kulikuwa na magazeti mawili...jitambue na lingine silikumbuki....nilikuwa sikosi copy...mwenye makala zake atuwekee tujikumbushe
 
Gazeti lile lilikuwa linamilikiwa na Munga Tehnan (RIP) baada ya kufariki ndio maana halionekani tena.....mi nadhani kuna ukweli......teh teh teh
Kumbe Jamaa alishatangulia!!!!
 
Du hii ndio kwanza naisikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…