Habari ana JF natumaini mu wazima,
Ipo hivi kipindi cha nyuma Kuna mwanamke niliingia naye kwenye mahusiano japo tulikua tunagombana sana ila kila nilipofanya juhudi kumuacha nilishindwa ilifikia mahali tunakaliana kimya nzima, lakini swala la kuachana hatuachani.
Ivi Sasa ninavyo zungumza niliama mkoa na kwenda kutafta maisha pengine ila ukaribu wangu na wake ukafifia hadi kufikia kutotafutana kabisa.
Changamoto ninayopitia sasa chanel haishiki vizuri yaaninaweza nikawa na mwanamke nikajifos hisia nikizipata tuu hata dakika sitoboi.
Naombeni msaada.