Mwanaume mwenzenu leo nimeaibika

Jamaa ana wenge sana ndo shida yaani ukichek movement zake ni kama anakurupushwa na kukurupuka mara condom hana mara hivi yaan bila kupunguza hofu na kuona ni kitu cha kawaida kazi unayo sana
 
Ulianza na romance mkuu au ilikuwa unasubiri maajabu maana inasaidia kuamsha hisia.
 
Niinbox naukupa namna hili anguko letu wanaume siwezi lipokea tumeumbuka ,niinbox nkuambie kitu utamtia hatoamin
 
Mungu wako kakuokoa kuunganishwa kwenye grid ya taifa
 
Wee jamaa nae boya sana, boya mno yaan kaja siku ya kwanza hauna condoms, siku ya pili kakwambia anakuja hata hukwenda kununua, siku ya tatu anakuambia anakuja still hukwenda hadi amefika ndo unajifanya kwenda kutafuta

Be a man, hauna mipango
 
Na mbaya zaid mtoto anaharaka anadai anachelewa..holaa nikabac na panic lakin wap
 

Kaa chini uandike upya
 

Kaa chini uandike upya
 
Askari anafariki taratibu chukua hatua mara ukisoma huwa haurudi nyuma
Hapo askari wako anakata roho taratibu
 
Siku nyingine mwache acheze na mic kidogo utanishukuru, bora umwage haraka kuliko kushindwa kabisa hata kuingiza.
 
Pole mkuu, jipe utulivu na usiwazie sana Fanya kama hakijatokea kitu. Dah..sijui atarud tena?
 
Mungu ananamna yake ya kukuepusha na majanga ya muunganiko wa nafsi. Next akija utashangaa unaanguka kifafa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…