Mwanaume mwenzenu leo nimeaibika

Pole huyo mdada nae anakuonea... Anakujaje kwako ku naniliu huku akiwa na haraka ?

Next time mwambie aje kwa kutullia
 

Hii inshu usiombe ikikute pale
ambapo ulivyokuwa unajitapa kama mandonga
 
Saana yaan kondomu sio kabisa ukivaa tu mkuyenge una collapse hasa kuanzia bao la pili,Watu wameuza mechi sana kuogopa hiyo dhahama.
Mimi huwa najiapiza.siuzi mechi ila hicho ndicho kinaniponza tarehe 29 nimekula barmaid kavu yaani hapa naogopa sio poa
 
Kondomu ni kitu ya kukosa getoni kweli?😊Kwangu ntakua na out of stock ya vyote ila Condom ni lazima iwe overstock…Next time kunywa maji mengi before utasaidia kucalm halafu usipanie usitake kushindana nayo ndo mahali umetoka ..
 
Wewe utaishije ndani bila siraha za maangamizi maana hata kwenye ndoa tu huwa zipo sembuse wewe huna ambae wazazi wake wanakufahamu
 
Nmecheka kchz [emoji23][emoji23][emoji23]japokuw inahuzunisha
 
Mkuu geto likose vtu vyote ila sio condom na Bluetooth device [emoji23]
 
Hakikisha unakuwaga na Condom ndani mkuu acha uzembe kwenye vitu vidogo.
Halafu ulivyo mzembe mtu kakwambia anakuja, badala ukanunue ndom kabisa eti umebweteka tu mpaka mtu kafika ndio unafata. Ndio maana alitaka kusepa alikuona mjinga.
 
Vijana na mihemko yao!!
[emoji144][emoji144]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…