interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,396
Shukrani kwa shuhuda zako Kaka
Nakubaliana na wewe 100%. Ni kweli wapo wanaowatii waume wao hata wakiwa na pesa ila ni wachache sana. Mimi nina mfano hai kabisa.
1. Mwanamke akikuzidi pesa, huwa haoni shida hata kuvunja mahusiano. Unaweza kumfungulia biashara lakini ukimuomba hata 10,000 anaweza kukunyima
2. Ukimsomesha mwanamke chuoni halafu wewe unadiploma, na akimaliza anadegree. Hapo ujue ushampoteza
N.B
Mwanamke 100% hupenda kuolewa na mtu anayemzidi pesa na elimu. Mfano mzuri tembelea love connect uone nyuzi za wanawake wenye degree ambao wanatafuta mchumba au mume. Angalia kigezo cha elimu kama utakuta kuanzia diploma kushuka chini.
Wanawake waone hivi hivi humu lakini ukija kwenye uhalisia. Ni wepesi sana kusahau fadhila